Hali ya kisiasa Zanzibar katika serikali ya umoja wa kitaifa
24 Septemba 2012Matangazo
Kwa njia ya simu Sudi Mnette kwanza alizungumza na maalim Seif na kumuuliza kwa nini ametoa kauli hiyo akiwa yeye ni makamu wa rais wa Zanzibar na baadaye alizungumza na Msemaji wa chama hicho Salum Bimani na akamuuliza kwa nini kiongozi huyo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa azungumze suala hilo katika mkutano wa hadhara wakati yeye ni kiongozi wa serikali.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Saumu Yusuf