SiasaHali ya kisiasa ya Kenya kabla ya uchaguzi wa 2022To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaMnette, Sudi05.06.20185 Juni 2018Kenya imeingia katika hali ngumu ya kisiasa kabla ya uchaguzi ujao wa 2022. Tayari watu wameanza kujadili kuhusu mrithi wa rais Uhuru Kenyatta na kuonekana kama wameyapa kisogo mambo muhimu ya maendeleo.https://p.dw.com/p/2yy2PMatangazo