Hali ya kisiasa katika chama cha CCM nchini Tanzania
15 Oktoba 2009Matangazo
Kwani kama hali hiyo itaendelea kuwepo, inaweza kupoteza
umaarufu wa chama hicho na pengine kuvuruga kabisa uchaguzi
wenyewe. Hayo yalisemwa hii leo na Naibu Mwenyekiti wa CCM
Pius Msekwa wakati akisoma ripoti ya kamati ya uchunguzi ya
chama hicho juu ya uhasama uliozuka kati ya makundi tofauti ya
wanasiasa wa chama hicho.
Mwandishi wetu kutoka Dar es Salaam, George Njogopa ametutumia taarifa ifuatayo:
Mwandishi: George Njogopa
Mtayarishaji: Grace Patricia Kabogo
Mhariri: M.Abdul-Rahman