You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Athari za mabadiliko ya hali ya hewa Afrika
Kuanzia kaskazini hadi kusini, nchi nyingi barani Afrika zimeathiriwa na athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Ukame uliokithiri, mafuriko na hali ya kuongezeka kwa joto. Malawi, Kenya na Mali pia hivi karibuni zimekabiliwa na majanga yanayohusiana na hali ya hewa.
Viongozi wajadili mkataba wa taka za plastiki
Viongozi wa kimataifa wamekusanyika kwa mazungumzo ya mkataba wa kukabiliana na uchafuzi wa plastiki duniani.
Mkutano wa kukabiliana na taka za plastiki waanza Ottawa
Wawakilishi kutoka nchi zaidi ya 170 duniani wanatarajiwa kushiriki mazungumzo hayo ambayo yatafanyika hadi Jumatatu.
Mkutano wa kimataifa dhidi ya taka za plastiki kuanza tena
Wapatanishi hao tayari wamekutana mara tatu na wanatarajiwa kufanya duru ya mwisho ya mazungumzo nchini Korea Kusini.
Mvua kubwa yasababisha vifo vya watu wengine 29 Afghanistan
Afghanistan iko katika orodha ya mataifa ambayo hayajajiandaa vizuri kukabiliana na hali mbaya ya hewa.
Burundi yaomba msaada kukabiliana na athari za mvua
Burundi na Umoja wa Mataifa zimetoa wito wa msaada wa kifedha ili kukabiliana na athari mbaya ya mvua mkubwa nchini humo
Mabadiliko ya tabianchi yasababisha joto kali Sahel
Mabadiliko ya tabia nchi yametajwa kuwa chanzo cha ongezeko la joto kuwahi kwenye Ukanda wa Sahel katika mwezi Aprili.
Serikali yawaomba wahanga wa mafuriko kuwa wavumilivu
Tizama namna baadhi ya maeneo nchini Tanzania yalivyoathirika na mafuriko. Video kwa hisani ya Ofisi ya Waziri Mkuu
Burundi yaomba msaada wa haraka kufuatia mafuriko
Mvua nyingi zinazonyesha zimesababisha maji ya ziwa kuzidi kuongezeka na kuyavamia makaazi ya raia na milima kuporomoko.
Mvua kubwa yasababisha maafa katika mataifa mengi duniani
Mvua kubwa na mafuriko yanaendelea kusababisha maafa katika mataifa mengi kote duniani.
Dubai, Kazakhstan na Urusi zashuhudia mafuriko makubwa
Katika nchi jirani ya Oman, takriban watu 18 wamekufa baada ya nchi hiyo kushuhudia pia mvua kubwa.
Maporomoko ya ardhi yauwa watu 12 Kongo kufuatia mvua
Maporomoko hayo ya ardhi yalitokea Jumamosi mchana katika eneo la Dibaya Lubwe katika mkoa wa Kwilu kufuatia mvua kubwa.
Karibu watu 19 wafa kwa maporomoko ya udongo, Indonesia
Mvua kubwa kabisa za hivi karibuni zimesababisha eneo hilo na mengine kuathiriwa na maporomoko ya udongo.
Mwaka 2024 unakaribia kuwa wenye joto zaidi kuwahi kutokea
UNICEF: Watoto wako katika hatari zaidi kuliko watu wazima kwani hawana uwezo wa kudhibiti joto la miili yao.
Amerika ya Kaskazini kushuhudia kupatwa kamili kwa jua
Mamilioni ya watu katika eneo kubwa la Amerika ya Kaskazini watashuhudia hii leo kupatwa kwa jua, wakati ambapo mwezi ut
Greta Thunberg akamatwa na polisi wa Uholanzi
Wanaharakati wanashinikiza kuondolewa ruzuku zote zinazoelekezwa kwenye matumizi ya mafuta ya kisukuku.
Leverkusen waazimia kunyanyua mataji matatu msimu huu
Leverkusen wako mbioni kuwania mataji matatu msimu huu, ligi kuu, kombe la shirikisho na ligi ya Ulaya.
Florian Wirtz haondoki Leverkusen msimu ujao
Wirtz amekuwa akiwindwa na vilabu mashuhuri vilivyotaka kumsajili msimu ujao.
Kimbunga Gamane chaua watu 11 nchini Madagascar
Vimbunga na hali mbaya ya hewa vinachangiwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya hali ya hewa ulimwenguni.
Kuleba kuzuru India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano
Maafisa wa India na Ukraine watajadiliana ushirikiano katika masuala kadhaa yenye maslahi kwa mataifa hayo mawili.
UN: Kaya zilitupa milo bilioni 1, mwaka 2022.
Zaidi ya tani bilioni 1 za chakula -karibu moja ya tano ya mazao yote yanayopatikana sokoni -- kiliharibiwa mwaka 2022.
Shule za Sudan Kusini kufunguliwa tena
Masomo kwenye taasisi za juu na shule za maeneo ya mashambani ziliendelea na masomo licha ya tahadhari.
Wanaharakati wa mazingira mbioni kuhifadhi msitu wa Aberdare Kenya
Muungano wa wahifadhi wa mazingira nchini Kenya unaowakilisha mashirika 73 wamewasilisha ombi kwa mahakama ya kitaifa ya mazingira kusitisha mradi wa ujenzi wa barabara kuu ya Ndunyu Njeru – Ihithe itakayopita katikati ya msitu na mbuga ya wanyama pori ya Aberdare, wakihoji kwamba madhara itakayosababisha kwa mfumo wa ikolojia, inapita faida zozote zinazowezekana.
Joto kali lina athari gani mwilini ?
Daktari Jalab Ashraf atowa maelezo zaidi jinsi ya kuhakikisha tunabakia imara kiafya katika kipindi hiki cha joto kali.
Msitu wa mvua wa Kongo na kitisho cha kutoweka
Robo ya ya msitu wa mvua wa Kongo ambao ndiyo mkubwa zaidi Afrika imo kwenye hatari ya kupotea. Unajua kwanini?
Wimbi la joto Afrika Mashariki sasa laikumba Uganda
Uganda imeanza kukumbwa na athari za wimbi la joto ambalo kwa sasa linashuhudiwa katika mataifa kadhaa ya Afrika Mashari
UN: Dunia hatarini kutokana na mawimbi ya joto
Umoja wa Mataifa umesema kuwa viwango vya joto duniani vilivunja rekodi mwaka uliopita wa 2023.
Sudan Kusini yaamuru shule zote kufungwa kutokana na joto
Sudan Kusini imeamuru kufungwa kwa shule zote kuanzia Jumatatu, ikiwa ni hatua ya tahadhari kutokana na joto kali.
Sudan Kusini kufunga shule zote kutokana na joto kali
Shule zitakazokaidi amri ya kufungwa zitapokonywa leseni za usajili.
Matumizi ya pikipiki za umeme Kigoma
Wakati ulimwengu ukihimiza matumizi ya nishati ya kijani, kijana Frednand Laulian ametumia maarifa yake kutengeneza pikipiki isiyotumia mafuta akiwa na lengo la ulinzi wa mazingira lakini kukabiliana na kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta kusikotabirika.
Miaka 13 tangu kutokea ajali ya Fukushima
Ajali ya Fukushima inazingatiwa kuwa janga la pili la nyuklia katika historia ikilinganishwa na janga la Chernobyl.
Msichana mdogo anayefanya harakati za kutunza mazingira
Sheila Juma ni msichana mdogo anaeendesha harakati za mwanmake kulinda mazingira kupitia taulo za kike.
Mataifa ya Ulaya lazima yajiandae na ongezeko la joto
Umoja Ulaya lazima ujiandae na ongezeko la joto
Madaktari waandamana Ujerumani kupigania hali njema kwao
Maelfu ya madaktari wa Ujerumani wagoma kushinikiza mishahara bora na mazingira mazuri
Wakulima wakabiliwa na ukame Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema mataifa mengi yanakabiliwa na viwango sawa vya ugumu wa maisha.
Wanawake wakulima wanakabiliwa na athari za kimazingira
Wanawake wakulima wanakabiliwa na athari za kimazingira
Vijana wa Kitanzania wanaopigania ustawi wa miti ya asili
Katika kipindi cha karibuni cha 09.03.2024 utasikia juhudi za asasi isiyo ya kiserikali SAHO inayoudwa a vijana wa Kitanzania yenye shabaha ya kudumisha uhai na uwepo wa miti ya asili katika uso wa dunia kwa kukusaya mbengu na kuotesha katika maeneo mengine ya taifa lao.
Kuna mpinzani tena wa Leverkusen katika Bundesliga msimu huu?
Bayer Leverkusen taratibu yaujongelea ubingwa wa Ujerumani baada ya kufungua mwanya wa pointi kumi baina yake na timu iliyo katika nafasi ya pili Bayern Munich. Chini ya jedwali nako FC Cologne wanahaha, hali si nzuri wako katika hatari ya kushuka daraja. Sikiliza uchambuzi kati ya Jacob Safari na mchambuzi wa kandanda la Ujerumani Sekione Kitojo.
UNEA yakutana Nairobi kujadili ushirikiano dhidi ya migogoro
UNEA inafanya mkutano kujadili jinsi ya kukabiliana na migogoro kama vile mabadiliko ya tabianchi.
Faida za Misitu kusini mwa Tanzania
Katika Makala hii ya Mtu na Mazingira Salma Mkalibala anaangazia, faida za kimazingira zinazotokana na uwepo wa Misitu ya Ukanda wa Pwani na changamoto zake.
Tuchel kuondoka Bayern Munich mwisho wa msimu
Afisa Mkuu mtendaji Jan-Christian Dreesen amesema wanataka kufuatilia muelekeo mpya wa soka na kocha mpya msimu ujao.
Watu 25 wafariki kufuatia maporomoko ya theluji Afghanistan
Maporomoko ya theluji yamesababisha vifo vya watu 25 wengine kadhaa wakikwama katika jimbo la Nuristan, Afghanistan.
Mazingira: Ujasiriamali kupitia ukusanyaji taka Kisumu
Ongezeko la idadi ya watu linamaanisha ongezeko pia la takataka zinazotokana na shughuli zinazofanywa na watu hao.
Guterres alalamikia mataifa kutumia pesa katika silaha
Guterres alalamikia mataifa kutumia pesa katika silaha
Dunia yapata miezi 12 ya kwanza ya joto kuvuuka nyuzi 1.5C.
Shirika la mabadiliko ya tabianchi la Ulaya limesema dunia imepitia miezi 12 ya joto linalopindukia nyuzi 1.5C.
Rahma: Jasiri katika kupambania mazingira bora
Kila kukicha athari za mabadiliko ya tabia nchi zinashuhudiwa ulimwenguni kote, ikiwemo joto kuongezeka, mafuriko, mvua sizizo za wakati na wakati mwingine kiangazi kinachosababisha ukame mkali, lakini jambo la kutia matumaini ni kwamba wapo watu wanaotoa elimu ili kushirikiana kukabili changamoto hii ya ulimwengu. Rahma ni miongoni mwao na ndio mgeni wetu kwenye Msichana Jasiri leo
Myanmar imeingia mwaka wa 4 baada ya mzozo wa mapinduzi
Myanmar leo inaingia mwaka wake wa nne tangu kufanyika kwa mapinduzi yaliomaliza utawala wa kidemokrasia.
Je, ni nini maana ya upotoshaji kuhusu tabia nchi?
Habari potofu na uwongo pia huchapishwa na baadhi ya vyombo vya habari au kusambazwa na wanasiasa wanaopenda umaarufu.
Zaidi ya hekta 17,000 za nyika zateketea kwa mioto Australia
Mabadiliko ya hali ya hewa kwa kiasi kikubwa yanachochea majanga kote ulimwenguni kama njaa, ukame na mengineyo.
Athari za mvua Dar es Salaam
Tazama hali ilivyo katika viunga vya Dar es Salaam baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha athari kwa wakazi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 26
Ukurasa unaofuatia