You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
WMO: Mwaka 2023 ulikuwa na ukame zaidi
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu bilioni 3.6 wanakabiliwa na upungufu wa maji kwa kama mwezi mmoja kwa mwaka.
Zaidi ya watu 350 wafa kwa kipindupindu nchini Nigeria
Nigeria inakabiliwa na janga hilo katikati ya mafuriko yaliyosababisha karibu watu milioni mbili kuhama makazi yao.
Mazingira: Ziwa Turkana lafurika
Michael Kwena anasimulia majaliwa ya ziwa hilo muhimu kwa Wakenya.
Zaidi ya watu 59 wafariki nchini Nepal kufuatia mafuriko
Polisi imesema timu za uokoaji zinawatafuta watu wengine 44 ambao hawajulikani walipo.
Unazitupaje takataka nchini Ujerumani?
Hapa Ujerumani kutupa takataka nako ni shughuli. Unatakiwa kujua wapi hasa unatakiwa kuzitupa takataka zako. Kuna sababu. Unajua ni zipi? Tazama video hii uone namna ya kuzitupa takataka ukiwa nchini humo. #Kurunzi
Vijana waitisha maandamano zaidi duniani ya mazingira
Hapa Ujerumani miji kadhaa inafanya maandamano hayo ingawa kunatarajiwa idadi ndogo kulinganisha na kipindi cha nyuma.
Maelfu ya watu wahamishwa Italia kufuatia Kimbunga Boris
Maelfu ya watu wahamishwa Italia kufuatia Kimbunga Boris
Ongezeko la maji Ziwa Tanganyika laathiri biashara Kigoma
Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wamehama na waliobaki wanaishi kwa hofu kwa kuwa maji bado yanaongezeka.
Mji wa Dresden upo katika tahadhari kuu ya mafuriko
Mataifa ya Ulaya Kustini na Kati yamekumbwa na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko na kuharibu miundombinu na kuuwa watu
Marekani na wakuu wa mataifa mengine wamelaani kuuawa kwa ki
Wanaharakati katika ukanda wa amerika ya Kusini wanakabiliwa na vitisho mbalimbali kutokana na harakati zao.
Mafuriko yasababisha madhara ikiwemo vifo barani Ulaya
Mafuriko yanayokwenda sambamba na mvua kubwa yamesababisha athari Austria, Poland na Jamhuri ya Czech barani Ulaya
Mafuriko yaua zaidi ya watu 500 Afrika Magharibi na Kati
Zaidi ya watu 500 wafariki kufuatia mvua na mafuriko mabaya kanda ya Afrika Magharibi na Kati
Mafuriko Ulaya: Utabiri wa mvua zaidi huku maelfu wakihama
Watu kadhaa hawajulikani waliko na mamilioni wamehamishwa kutoka kwenye nyumba zao kutokana na mafuriko Ulaya.
Watu wafa katika mafuriko Ulaya ya Kati
Watu 7 wameripotiwa kufa katika siku mbili zilizopita na zaidi ya elfu 10 wamehamishwa Czech.
Sudan Kusini yaahirisha uchaguzi wa Desemba kwa miaka miwili
Rais Salva Kiir na naibu Riek Machar walitia saini makubaliano ya amani mnamo mwaka 2018
Tahadhari ya hali mbaya ya hewa yatolewa Ujerumani
Tahadhari ya hali mbaya ya hewa yatolewa Ujerumani, Poland na Austria.
Watetezi karibu 200 wa mazingira waliuawa 2023
Colombia kwa mara nyingine inashikilia rekodi ya kuwa nchi isiyo salama kanda ya Amerika ya Kusini kwa wanaharakati hao.
Karibu wanaharakati 200 wa mazingira waliuawa, 2023
Colombia, Brazil, Honduras na Mexico ndio mataifa yanayoongoza katika ripoti hiyo.
Kongo: Walimu wagoma wakitaka mazingira bora ya kazi
Mgomno huo wa walimu katika jimbo la Kivu unalenga kushinikiza serikali kuboresha mazingira bora ya kazi.
Bwawa laporomoka Sudan na kusababisha vifo vya watu 30
Vijiji 20 vimeharibiwa baada ya kuporomoka bwawa la Arbaat nchini Sudan siku ya Jumapili na takribani watu 30 wamekufa.
Msimu mpya wa Bundesliga waanza
Na nyota wa tenis raia wa Serbia Novak Djokovic na Mmarekani Coco Gauf kuanza kuwinda mataji ya mashindano ya US Open.
Leverkusen waufungua msimu wa Bundesliga kwa ushindi
Msimu uliopita Leverkusen ilishangaza kwa namna ilivyofunga mabao kadhaa ya dakika za lala salama na muhimu.
Leverkusen waufungua msimu wa Bundesliga kwa ushindi
Msimu uliopita Leverkusen ilishangaza kwa namna ilivyofunga mabao kadhaa ya dakika za lala salama na muhimu.
Umuhimu wa Tembo katika mfumo wa ikolojia
Katika mbuga za wanyama za Tarangire na Manyara mauaji ya tembo yamedhibitiwa. Shirika la Wanyamapori Afrika, AWF linasema hakuna tembo aliyeuawa tangu mwaka 2015 katika maeneo hayo. Lakini unajua faida za tembo kwenye mbuga za wanyama? Ungana na Veronica Natalis kwenye makala haya ya Mtu na Mazingira.
Afrika kuutumia mkutano wa mazingira kupata ufadhili zaidi
Nchi za Afrika zinapata chini ya asilimia moja za kukabaliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi.
Tetemeko la 5.3 lazikumba Pakistan na Kashmir
Mwaka 2005 tetemeko la ukubwa wa 7.6 lilisababisha vifo vya maalfu ya watu nchini Pakistan na kwenye jimbo la Kashmir.
Malawi yapokea fidia ya dola mil.11 za athari za ukame
Mvua zilizonyesha kati ya mwezi Novemba na Aprili zikiambatana na hali ya El Nino zimechangia hali mbaya ya hewa Malawi.
Idadi ya vifo Pakistan kufuatia mafuriko yapindukia 200
Mamlaka za Pakistan zimesema zaidi ya watu 200 wamekufa kufuatia mafuriko makubwa tangu Julai.
UN yaelezea wasiwasi kuhusu mazingira ya hofu Venezuela
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi kuhusu "mazingira ya hofu" baada ya uchaguzi nchini Venezuela.
Mvua kubwa Sudan zasababisha vifo vya watu wasiopungua 68
Mamlaka zinasema makaazi ya watu yamebomolewa, mitaa kufurika na kuiongezea masaibu zaidi nchi hiyo iliyozongwa na vita.
Mahakama yaruhusu udukuzi wa simu Munich
Mahakama imetupilia mbali malalamiko dhidi ya udukuzi wa mazungumzo ya simu za wanaharakati wa mazingira.
Wimbi la joto kali lazusha kizaazaa kila kona ya dunia
Wafanyakazi bilioni 2.41 duniani ambao ni asilimia 70 ya nguvu kazi ya ulimwengu, wanakabiliwa na joto kali.
Mvua kubwa yasababisha vifo vya watu 17 kaskazini mwa Sudan
Mvua kubwa iliyonyesha kaskazini mwa Sudan, imesababisha vifo vya watu 17 na majengo kuporomoka, katikati mwa mapigano.
Kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh azikwa
Kifo cha Ismail Haniyeh kimezua wasiwasi juu ya mustakabali wa hali ya usalama katika Ukanda wa Mashariki ya Kati.
Maelfu watumwa kuukabili moto wa nyika California
Maelfu ya wazimamoto wametumwa kwenda kuukabili moto wa nyika unaowaka katika jimbo California nchini Marekani.
Ofisi za umma kufungwa Iran kufuatia wimbi la joto kali
Mji mkuu Tehran umerekodi hadi nyuzijoto 42 katika kipimo cha Celsius.
UN yaonya kuwa binadamu wanaathrika na janga la joto kali
Guterres: Mabilioni ya watu wanakabiliwa na janga la joto, huku viwango vya joto vikidizi nyuzi joto 50 kote duniani.
Maporomoko ya ardhi yaua mamia Ethiopia
Watu zaidi ya 150 wamekufa kusini mwa Ethiopia Kutokana na matukio mawili ya maporomoko ya ardhi. Serikali inasema idadi hiyo inaweza kuongezeka zaidi.
Uteuzi wa baraza jipya Kenya utatuliza joto la maandamano?
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza mawaziri 11 kati ya 22 katika baraza lake jipya la mawaziri. Akihutubia taifa, kiongozi huyo ameeleza kuwa idadi ya mawaziri waliosalia itatangazwa wiki ijayo. Hata hivyo, mawaziri sita waliotimuliwa wiki iliyopita, wameteuliwa tena. Babu Abdalla amezungumza na mchambuzi wa siasa kutoka Nairobi Herman Manyora kujua uamuzi huo wa Rais Ruto ulivyopokelewa.
Von der Leyen kuongoza tena Halmashauri ya Ulaya
Chama cha mrengo mkali wa kulia cha Ndugu wa Italia cha Waziri Mkuu wa Italia Giorgia kilimpinga von der Leyen.
Mwanaharakati wa mazingira ahukumiwa miezi 16 Ujerumani
Mwanaharakati wa mazingira ahukumiwa miezi 16 Ujerumani
Biden ataka Wamarekani watulize joto la kisiasa
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu ametoa wito kwa raia wa nchi hiyo kutuliza joto la kisiasa kufuatia jaribio la kumuu
Taka za plastiki zatumika kama malighafi mbadala kwa mbao
Wakati dunia ikipambana na ukataji miti kwa ajili za matumiyi za kibinaadamu, kiwanda hiki kinatumia taka za plastiki kama malighafi kutengeneza samani na bidhaa za ujenzi. Tazama kisha tuachie maoni yako.
Urusi: Kupeleka silaha Ujerumani kutachochea Vita Baridi
Mataifa hayo yalitangaza makubaliano ya Marekani kuanza kupeleka silaha nzito Ujerumani kukabiliana na vitisho.
Viongozi wa NATO wahitimisha mkutano wao wa kilele
NATO walitangaza msaada zaidi wa kijeshi ili kuunga mkono juhudi za Ukraine za kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
Simba na Yanga zajiimarisha kuelekea msimu mpya wa soka
Kando na Clatous Chama, Yanga imewasijili Khomeini Abubakar na Boka Chadrak. Je, umeridhika na usajili wa klabu yako?
Kimbunga Beryl chasababisha uharibifu jimboni Texas
Watu wawili wauawa kutokana na athari za kimbunga Beryl jimboni Texas
Kimbunga Beryl chahama kuelekea Houston
Kituo cha Kitaifa cha kufuatilia Vimbunga cha nchini Marekani (NHC) chatoa tahadhari ya kimbunga Beryl, Texas.
Kongo yaandaa mkutano wa kilele wa misitu barani Afrika
Mkakati wa muongo wa Afrika wa kudhibiti ukataji na upandaji wa miti ulizinduliwa na Rais wa Kongo Denis Sassou Nguesso.
Joto kali laathiri muda wa swalah ya Ijumaa Saudia
Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE zimefupisha muda wa swalah ya Ijumaa kutokana na joto kali.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 26
Ukurasa unaofuatia