1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali nchini Kenya kabla ya Uchaguzi Mkuu

4 Februari 2013

Mwezi mmoja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Kenya bado kuna wasiwasi juu ya maswala mengi huko hasa usalama.

https://p.dw.com/p/17XXq
Wananchi wa Kenya wakiwa barabarani kujadili uchaguzi jao
Wananchi wa Kenya wakiwa barabarani kujadili uchaguzi jaoPicha: DW/M. Braun

Kulingana na wanaharakati nchini humo bado wanasiasa wanaendelea kueneza siasa za chuki na za kikabila maswala ambayo ni tete na ndio yaliosababisha ghasia za baada ya uchaguzi miaka mitano iliopita. Uchaguzi nchini Kenya unatarajiwa kufanyika taraehe 4 mwezi ujao. Professa Tom Namwamba ni mchambuzi wa maswala ya kisiasa nchini Kenya, na Amina Abubakar amezungumza naye muda mfupi uliopita na kwanza anaelezea hali halisi nchini Kenya kwa sasa:

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri: Mohammed Khelef