Hajiya Iyatu, Nigeria
23 Mei 2013Matangazo
"Mtu hawezi kujigamba kwamba Umoja wa Afrika haukuleta mafanikio yoyote. Tatizo lakini limesalia pale pale, kuna shida ya mtu kwenda akutakako: Ni vigumu kupata viza. Tatizo jengine ni kwamba Afrika ingawa ina utajiri wa mali ghafi, lakini sisi wenyewe tunapata shida ya kuukurubia na kufaidika."