Serhou Guirassy azidi kuweka rekodi katika Bundesliga kwa kufunga goli la 14 katika mechi 8 ila klabu yake ya Stuttgart yapata pigo kwa kuwa mshambuliaji huyo atarajiwa kuwa nje kwa wiki kadhaa sasa, kulikoni? Wingu la matukio ya ubaguzi wa rangi laigubika Ligi kuu ya Uhispania La Liga huku Vinicius Junior akiwa mhanga kwa mara nyengine tena. Msikilize Jacob Safari.