Yaliyomo katika Afrika wiki hii ni pamoja na hatua ya jeshi la Guinea kuipindua serikali ya rais Alpha Conde na kutwaa madaraka.
Umoja wa Afrika waisimamisha uanachama nchi hiyo. Na Gazeti la Raia mwema nchini Tanzania lafungiwa kwa siku 30 kwa madai ya kukiuka sheria na maadili ya uandishi. Kwa hayo na mengine mengi jiunge na Saumu Mwasimba