1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

GMO na athari zake kimazingira

Wakio Mbogho14 Oktoba 2022

Wachambuzi na baadhi ya wanaharakati wanaelezea hofu kuwa vyakula vinavyozalishwa kwa uzalishaji wa mazao yaliyobadilishwa vinasaba maarufu GMO, vitaathiri afya za watu na kwamba upandaji wake utawaathiri wakulima na hata kutokomeza vyakula vya kiasili. Lakini je; Kilimo hiki cha vyakula vya GMO kina madhara gani kwenye mazingira? Ungana na Wakio Mbogho kwenye makala hii ya mtu na mazingira.

https://p.dw.com/p/4IC6h