You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Matangazo ya Mchana 28.09.2024
Jeshi la Israel lasema limemuuwa Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah // Ukraine yasema mashambulizi ya Urusi kwenye hospitali yaua watu saba // Umoja wa Mataifa umesema watu 3,661 waliuawa 2024 katika ghasia za Haiti
Ujerumani: Polisi wakamata tani 2 za madawa ya kokeini
Watu zaidi ya 10 wamekamatwa wakituhumiwa kuhusishwa na tukio hilo.
Maonesho ya ajira kati ya Ujerumani na Kenya yafunguliwa
Mawakala wa Ajira nchini Kenya wameonywa dhidi ya kuwatoza wananchi ada wanapotuma maombi za kazi nchini Ujerumani.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Yaliyoandikwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na matukio ya nchini Tanzania. Idara kuu ya ukaguzi ya Umoja wa Ulaya yasema mfuko wa fedha wa jumuiya hiyo uliotengwa kwa ajili ya kukabiliana na sababu za ukimbizi haukuleta tija. Kiongozi wa zamani wa Sudan Omar al- Bashir anayesakwa na mahakama ya kimataifa ya mjini The Hague.
Kutana na wanawake mabaharia Tanzania
Makala ya wanawake na maendeleo ya DW inajikita zaidi katika kuwaangalia mabaharia wanawake ambao wameamua kufanya kazi hiyo na kuachana na dhana ya kazi hiyo kuwa ya kiume. Ungana na Anuary Mkama kwa mengi zaidi.
Unazitupaje takataka nchini Ujerumani?
Hapa Ujerumani kutupa takataka nako ni shughuli. Unatakiwa kujua wapi hasa unatakiwa kuzitupa takataka zako. Kuna sababu. Unajua ni zipi? Tazama video hii uone namna ya kuzitupa takataka ukiwa nchini humo. #Kurunzi
Uingereza kutanua ushirikiano wa ulinzi na Ujerumani
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anatarajiwa kufanya ziara wiki ijayo mjini Brussels.
Viongozi wa chama cha kijani Ujerumani waachia ngazi
Hatua hiyo ni kutokana na matokeo mabaya ya uchaguzi wa hivi karibuni katika majimbo matatu ya mashariki mwa Ujerumani.
Viongozi wataka uwekezaji zaidi katika Nishati Jadidifu
Hayo yameelezwa katika Mkutano wa kilele wa Nishati Jadidifu, unaofanyika pembezoni mwa hadhara ya Baraza Kuu la UN.
Viongozi wa dunia wahimiza uwekezaji katika nishati jadidifu
Rais wa Kenya William Ruto alitoa hoja ya kuwekeza kwenye nishati hiyo rafiki Afrika kama sehemu ya ahadi ya kimataifa.
Viongozi wa Chama cha Kijani Ujerumani waamua kuachia ngazi
Katika ngazi ya kitaifa, chama hicho cha Kijani ni cha pili kwa ukubwa katika serikali ya muungano ya vyama vitatu.
Ruto ataka dunia iwekeze kwenye nishati salama Afrika
Mataifa yanayoendelea yanasema yanahitaji msaada wa kifedha kuhama kutoka matumizi ya nishati zinazoharibu mazingira.
Ari ya kibiashara Ujerumani yashuka kwa miezi minne
Utafiti ulionyesha kuwa shughuli za biashara katika kanda inayotumia Euro zilipungua katika kipindi cha miezi 7.
Polisi Ujerumani wafanya msako wa walanguzi wa binadamu
Kundi la watu saba linalohusika linadaiwa kuwaleta watu kutoka Mashariki ya Kati na eneo la Caucasus hadi Ujerumani.
SPD chapata ushindi uchaguzi wa jimbo la Brandenburg
Chama cha Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz cha SPD kimepata ushindi mwembamba katika uchaguzi wa jimbo la Brandenburg.
AfD na matumaini ya kushinda uchaguzi wa Brandenburg
AfD inalenga kupata mafanikio kama yale yaliyopatikana wiki tatu zilizopita, katika majimbo ya Thuringia na Saxony.
Raia katika jimbo la Brandeburg Ujerumani wanapiga kura
Takiban wapiga kura milioni 2.1 wameanza kupiga kura katika uchaguzi wa jimbo la Ujerumani la Brandeburg.
Scholz asema hatoipa Ukraine makombora ya Taurus
Kauli ya Scholz ameitoa licha ya Kyiv kuwahimiza washirika wake wa Magharibi kuipa silaha ili kukabiliana na Urusi.
21.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Septemba 21, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Wakimbizi Afrika Magharibi na Kati wafikia milioni 14
UNHCR yataka wakimbizi kujumuishwa katika mipango ya maendeleo ya nchi zinazowahifadhi
Mawaziri wa nishati wa G7 kujadili miundombinu ya Ukraine
Mawaziri wa nishati wa nchi za G7 watakutana Jumatatu kujadili miundombinu ya nishati ya umeme ya Ukraine.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yaliyozingatiwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na mzozo uliozuka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya Kongo kukusudia kuwachukua wanyarwanda sita waliokuwa na hatia ya mauaji ya kimbari baada ya kutumikia vifungo jela. Jumuiya ya kimataifa inageukia kwingine wakati vita vinaendelea nchini Sudan. Mtayarishaji Zainab Aziz.
Von der Leyen aizuru Ukraine kujadili usalama wa nishati
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen ameitembelea Ukraine kujadili usalama wa nishati.
20.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Septemba 20, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Idadi ya vifo kufuatia mafuriko Ulaya ya Kati yaongezeka
Idadi ya vifo kufuatia mafuriko Ulaya ya Kati yaongezeka
Dortmund imeshinda mabao 3-0 dhidi ya Club Brugge
Dortmund yaanza kampeni ya ligi ya mabingwa barani Ulaya kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Club Brugge
19.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Septemba 19, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Mji wa Dresden upo katika tahadhari kuu ya mafuriko
Mataifa ya Ulaya Kustini na Kati yamekumbwa na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko na kuharibu miundombinu na kuuwa watu
Viongozi Asia ya Kati waitaka Ujerumani kuwatambuwa Taliban
Viongozi kadhaa wa mataifa ya Asia ya Kati wameishauri Ujerumani kurejesha mahusiano na utawala wa Taliban.
Ujerumani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Ujerumani imeahidi msaada zaidi wa euro milioni 100 kwa ajili ya Ukraine wakati wa msimu wa baridi.
Watu 18 wafariki dunia kutokana na mafuriko barani Ulaya
Meya wa Nysa nchini Poland amewahimiza wakaazi wote wa mji huo wapatao 44,000 kuhama kutokana na athari ya mafuriko.
Chama cha Kijani chaonya udhibiti mipakani kuwa wa kudumu
Ujerumani imeanzisha hatua kali za udhibiti mipakani katikati ya kitisho cha mashambulizi mfululizo ya kigaidi.
Scholz azuru Kazakhstan kuimarisha biashara, ugavi wa mafuta
Scholz alisisitiza umuhimu wa kukuza biashara ya mafuta na malighafi nyingine za nchi hiyo ya zamani ya Kisovieti.
Kansela Olaf Scholz azungumza na rais wa Kazakhstan
Kansela Olaf Scholz amefanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na rais wa Kazakhstan
Ujerumani yatanua ukaguzi mipakani kudhibiti wahamiaji
Ukaguzi huo utafanyika katika mipaka ya Ujerumani na Ufaransa, Luxembourg, Uholanzi, Ubelgiji na Denmark.
Mali, Burkina Faso na Niger kuanzisha pasi mpya za kusafiri
Mataifa hayo yaliungana mwaka uliopita baada ya kuvunja uhusiano na mtawala wa kikoloni Ufaransa na kuigeukia Urusi.
Ruto atetea rikodi ya uongozi wake wa miaka miwili
Rais William Ruto wa Kenya ametetea rikodi yake ya miaka miwili madarakani katika mahojiano maalumu na DW.
Ujerumani hatopeleka makombora ya masafa marefu Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema nchi yake haitapeleka makombora ya masafa marefu ya Taurus nchini Ukraine.
14.09.2024 Matangazo ya mchana
Biden na Starmer wakutana Washington kuijadili Ukraine, Stoltenberg asema NATO ingeweza kufanya zaidi kuzuia vita vya Ukraine,Na China yaionya Ujerumani baada ya meli yake kupita Taiwan.
China yaionya Ujerumani baada ya meli yake kupita Taiwan
Meli hiyo ya kivita ya Ujerumani ilipita katika njia hiyo inayoshindaniwa ikitoka Korea Kusini kuelekea Ufilipino.
Ujerumani na Kenya zasaini mkataba wa uhamiaji na ajira
Kansela Olaf Scholz amesema mpango huo utaisadia Ujerumani kuongeza wataalamu.
Tahadhari ya hali mbaya ya hewa yatolewa Ujerumani
Tahadhari ya hali mbaya ya hewa yatolewa Ujerumani, Poland na Austria.
Msyria mbaroni kwa kutaka kuwauwa wanajeshi Ujerumani
Kijana mwenye miaka 27 raia wa Syria anayetuhumiwa kupanga shambulio dhidi ya wanajeshi amekamatwa Ujerumani.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yaliyozingatiwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii nji pamoja na msaada wa dola bilioni 1.3 kwa Misri uliotolewa na Marekani bila ya kufungamanishwa na hali ya haki za binadamu. Juu ya mvutano baina ya Somalia na Ethiopia kuhusu maji. Ziara ya Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeir nchini Misri. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.
Msichana anayeelimisha jamii kuhusu ukatili dhidi ya watoto
Kutokana na ongezeko la vitendo vya ukatili, Dolice amemua kutoa elimu ya kujikinga na ukatili kwa watoto hasa shuleni.
Oumilkheir atutembelea baada ya miaka minne alipostaafu
Unamkumbuka Oumilkheir? Najua wafuatiliaji wetu wengi "wanaimiss" sauti yake adhimu enzi hizo akiwa nasi hapa Idhaa ya Kiswahili. Baada ya miaka kadhaa tangu alipostaafu, Bi Oumi, kama hapa tulivyopenda kumuita ametutembelea, na kupata fursa ya kuzungumza na mwenzetu John Juma.
Ujerumani yazidi kuibana mipaka yake
Ujerumani inazidi kuimarisha udhibiti wa mipakani wakati kitisho kikizidi kuongezeka katikati ya ongezeko la uungwaji mkono wa siasa za mrengo wa kulia pamoja na mashambulizi. Kulikoni? Tizama video hii fupi. #Kurunzi #kurunziujerumani
Kansela Scholz atetea mipango ya pensheni katika bajeti 2025
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametetea mipango ya serikali kuhusu pensheni katika mapendekezo ya bajeti ya 2025.
Polisi Ujerumani yatoa vidio ya mshukiwa wa kundi la RAF
Kundi la RAF linadaiwa kuuwa watu 30 kabla ya kuvunjika mwaka 1998.
Kansela Scholz atetea sera ya serikali yake kuhusu uhamiaji
Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani ametetea sera ya serikali yake, kuhusu uhamiaji mbele ya bunge mjini Berlin leo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 141
Ukurasa unaofuatia