You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Serikali ya Ujerumani yasambaratika
Hatua hiyo ya Scholz iliufikisha ukingoni muungano tawala wa vyama vitatu na kufungua njia ya kufanyika uchaguzi mpya.
Upinzani nchini Ujerumani washinikiza uchaguzi wa mapema
Haya yamejiri kufuatia miezi kadhaa ya malumbano ya ndani kwa ndani kati ya vyama vinavyounda serikali ya muungano.
Ujerumani na Somalia kuwafukuza wahamiaji haramu
Ujerumani, Somalia zakubaliana kuharakisha kufukuzwa kwa wahamiaji wasiokuwa na haki ya kisheria
Nchi za G7 zalaani ushirikiano wa Korea Kazkazini na Urusi
Kuna uwezekano wa kutumika kwa wanajeshi wa Pyongyang katika uwanja wa vita nchini Ukraine.
Viongozi wa muungano tawala Ujerumani kufanya majadiliano
Viongozi wa muungano tawala Ujerumani kukutana wakati mzozo ukitokota
06.11.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Vyama vya serikali ya muungano Ujerumani kutatua mgogoro
Vyama vitatu katika serikali ya muungano ya Ujerumani vinaendelea na msururu wa mazungumzo.
Ujerumani yawakamata waliotaka kuipindua serikali
Polisi ya Ujerumani yawakamata watu waliokuwa wajiandaa kuipindua serikali
Rwanda kuacha kutoa usajili wa pikipiki za petroli
Rwanda kuacha kutoa usajili wa pikipiki za abiria zinazotumia petroli
Ujerumani inaweza kukabiliwa na uchaguzi wa mapema
Madai yanazidi kuongezeka kwamba serikali ya Ujerumani inayoongozwa na Kansela Olaf Scholz inakaribia kuporomoka.
Mashambulizi ya Israel yawauwa watu 10 Gaza
Mashambulizi ya makombora ya Israel yamesababisha vifo vya watu 10 Jumatatu huko Gaza, huku wizara ya afya inayoendeshwa
Baerbock awasili Kiev kusisitiza mshikamano
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amezuru Ukraine Jumatatu kusisitiza "uungwaji mkono thabiti".
Ujerumani inaweza kukabiliwa na uchaguzi wa mapema
Madai yanazidi kuongezeka kwamba serikali ya Ujerumani inayoongozwa na Kansela Olaf Scholz inakaribia kuporomoka.
Tanzania: Kupekua simu ya mwenzi wako faini hadi ml.20
Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa, Tanzania, Celestine Luhende amesema kupekuwa simu ya mwenzi wako ni kosa kisheria.
Baerbock ataka kuipiga jeki Ukraine akiwa ziarani Kyiv
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock, amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuisaidia Ukraine.
Chama cha BSW chapinga Ujerumani kuipa Ukraine silaha
Chama cha BSW chashinikiza msimamo wake dhidi ya silaha kwa Ukraine
Japan na Umoja wa Ulaya kushirikiana kiusalama na ulinzi
Hayo yanijiri wakati mivutano ikiongezeka kati yao na China, Korea Kaskazini na Urusi.
Hali ya uhusiano kati ya Ujerumani na Marekani
Uhusiano wa Marekani na Ujerumani mwaka 2024 ukoje?
Ujerumani yaagiza kufungwa kwa balozi tatu ndogo za Iran
Jamshid Sharmahd, aliyekuwa akiishi Marekani na ambaye alitekwa nyara na maafisa usalama wa Iran huko Dubai, alinyongwa.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yafahamu masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani.
Polisi ya Ujerumani yasema idadi ya wanaovuka mpaka yapungua
Udhibiti wa mipaka kwa ujumla unaenda kinyume na masharti yaliyoainishwa na makubaliano ya Eneo la Schengen.
Hakuna Imani!: Muungano tawala Ujerumani hatarini kuvunjika
Muungano wa serikali wa Ujerumani unakabiliwa na mvutano na ukosefu wa kuaminiana miongoni mwa wanachama wake.
Samia aunga mkono ajenda ya matumizi ya nishati safi
Rais Samia ametoa wito huo ili kuwaondoa wanawake katika mzigo wa maradhi yatokanayo na matumizi ya kuni na mkaa.
Ujerumani na EU zalaani kunyongwa kwa Jamshid Sharmahd
Iran imesema kuwa na Pasipoti ya Ujerumani hakumfanyi mtu yeyote kuepuka adhabu, na hasa mhalifu na "gaidi".
Wafanyakazi wa kiwanda cha Volkswagen wagoma
Jumuiya kuu ya wafanyakazi ya Ujerumani ilizindua harakati za kudai malipo zaidi na kupinga mazingira mabaya ya kazi.
Iran yamnyonga Jamshid Sharmahd raia wa Ujerumani na Iran
Sharmahd alinyongwa Jumatatu asubuhi, kwa mujibu wa tovuti ya habari ya idara ya mahakama ya Iran Misan.
Uhusiano kati ya Waarabu na Israeli utadumu kwa muda gani?
Je mzozo kati ya Israel na Hamas unaweza kubadilisha ushirikiano kati ya taifa hilo na mataifa ya Kiarabu?
Kampuni ya magari ya Volkswagen yapanga kufunga viwanda 3
Kampuni ya Volkswagen imekuwa kwenye mazungumzo na vyama vya wafanyakazi kuhusiana na mipango yake ya mageuzi.
India na Ujerumani zakubaliana kuzalisha nishati safi
Ujerumani na India zimekubaliana kuanzisha utafiti na uzalishaji wa nishati safi ya hidrojeni.
Scholz ahofia kutumwa wanajeshi wa Korea kaskazini, Ukraine
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amearifu juu ya kupelekwa wanajeshi wa Korea Kaskazini nchini Ukraine hivi karibuni.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Yafahamu masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani.
Ujerumani yataka kuimarisha ushirikiano wa ulinzi na India
Ujerumani inataka kukuza ushirikiano na India katika sekta za ulinzi. Inataka pia kuyaleta majeshi ya nchi hizo karibu.
Ujerumani, India zalenga kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Ujerumani, India zalenga kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Mkutano wa Uturuki na Afrika kufanyika wiki ijayo Djibouti
Mkutano wa kuimarisha ushirikiano wa Uturuki na Afrika kufanyika wiki ijayo Djibouti
Israel na Hezbollah washambuliana maeneo muhimu
Jeshi la Israel na kundi la Hezbollah wameendelea kushambuliana katika maeneo ya kimkakati ikiwemo ya kuhifadhi silaha.
Ushirikiano wa Ujerumani na Tanzania kuimarisha michezo
Vijana wa Kitanzania kutoka Mwanza, Zanzibar, Tanga na Moshi ni miongoni mwa wanufaika wa mafunzo yatakayotolewa na wakufunzi wa mchezo wa wavu kutoka Ujerumani. Ushirikiano wa nchi hizo mbili unakusudia kuimarisha sekta ya michezo haswa kwa chipukizi wa Tanzania.
Ujerumani na Austria zawaita mabalozi wa Korea Kaskazini
Austria imeonya uungaji mkono huo wa Korea Kaskazini unakiuka sheria za kimataifa na usalama wa Ulaya na rasi ya Korea.
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Mo Ibrahim: Maendeleo kuhusu utawala bora Afrika yakwama
Maendeleo kuhusu utawala bora Afrika yakwama: Wakfu wa Mo Ibrahim
Wakuu wa mashirika ya fedha kujadili maendeleo ya kimataifa
Kuna wasiwasi kwamba uchaguzi wa Marekani unaweza kuchochea vita vipya vya kibiashara pamoja na kuharibu ushirikiano.
Wapandikizwa ini baada ya kula uyoga wenye sumu Ujerumani
Ujerumani imekuwa na utamaduni wa watu kuchuma uyoga porini haswa katika msimu wa mapukutiko.
Mbaroni kwa kupanga mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Israel
Raia wa Libya amekamatwa nchini Ujerumani kwa shutuma za kupanga mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Israel mjini Berlin.
Biden na viongozi wa Ulaya wasisitiza ukomeshaji vita Gaza
Biden amefanya ziara yake fupi nchini Ujerumani wiki chache kabla ya uchaguzi wa Marekani.
Biden yuko Berlin kwa mazungumzo ya Ukraine na M. Kati
Na kukiwa na uchaguzi wa rais wa Marekani ambao unazua wasiwasi kuhusu nguvu yake katika utatuzi wa vita hivyo baadae.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Matukio ya barani Afrika yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na idadi yinayoongezeka ya wakimbizi kutoka jimbo la Darfur wanaoelekea nchini Chad. Juu ya kuongezeka maambukizi ya mpox kwenye nchi kadhaa za Afrika. Je yuko wapi Rais Paul Biya wa Cameroon? Mtayarishaji, Zainab Aziz.
Rais Joe Biden amewasili mjini Berlin kwa ziara fupi
Rais Biden aliwasili mjini Berlin Alhamis jioni na atafanya mazungumzo mapema siku ya Ijumaa na viongozi wa Ujerumani.
Je, Marekani itaendeleza ushirika na Ulaya baada ya Biden?
Rais Joe Biden atakuwa rais wa kwanza wa Marekani tangu George H. W. Bush kutunukiwa Tuzo ya Federal Cross of Merit.
Biden kukutana na viongozi wa Ulaya Ijumaa
Rais wa Marekani Joe Biden atafanya ziara nchini Ujerumani Ijumaa ambapo atakutana na Kansela Olaf Scholz mjini Berlin.
Wanafunzi wa Kijerumani Wasaidia Shule Tanzania
Ukosefu wa nishati ya uhakika katika baadhi ya shule umeipa sababu shule ya Helene Lange kuweka ushirikiano na shule ya sekondari ya Msitu wa Tembo iliopo Manyara Tanzania, shule hiyo inaona manufaa kwa sasa ikiwemo uhakika wa nishati mbadala.
Umoja wa Ulaya na Ghuba wakutana kujadili Gaza na Ukraine
Kusanyiko hili ni la kwanza na la kipekee baina ya pande hizo kwa matumaini ya kupunguza kitisho huko Mashariki ya Kati.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 141
Ukurasa unaofuatia