AfyaGhana na mapambano dhid ya MalariaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaHawa Bihoga13.03.202313 Machi 2023Ghana inapanua mpango wake wa chanjo ya kitaifa ya chanjo ya malaria ili kuhakikisha kuwa zinawafikia maelfu ya watoto walio katika hatari kubwa ya malaria. Mpango huo unaratibiwa na Shirika la Afya Duniani WHO kwa msaada wa NGOs na wadau wengine.https://p.dw.com/p/4ObfIMatangazo