JamiiGhana: Kuyageuza mabaki ya mavuno mashambani kuwa bidhaa za kuuzwaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii02.11.20212 Novemba 2021Kampuni changa nchini Ghana hutumia mabaki ya mazao baada ya mavuno kwenye biashara. Kampuni hiyo Agromyx hushirikiana na wakulima wadogowadogo kushughulikia mabaki ya mazao yao kutengeneza vyakula au bidhaa za kuuzwa kama vitafunwa.https://p.dw.com/p/42Sv3Matangazo