1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

'GES utaiweka Afrika kwenye ramani'

Caro Robi21 Julai 2015

Mchambuzi wa masuala ya kiuchumi, James Shikwati, asema mkutano wa wajasiriamali utakaofanyika Nairobi utaleta tija kwa wafanyabiashara na uchumi wa Kenya na bara zima la Afrika.

https://p.dw.com/p/1G2E8
Wirtschaftswissenschaftler James Shikwati Kenia
Picha: J. Shikwati

Mkutano wa kilele wa kimataifa wa wajasiriamali ujulikanao kama GES unatarajiwa kufanyika Nairobi nchini Kenya. Rais wa Marekani Barack Obama na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wanatarajiwa kuwa wenyeviti wa mkutano huo unaowaleta pamoja maelfu ya wawekezaji na wajasiriamali.

Hii ni mara ya pili kwa mkutano huo wa GES kufanyika barani Afrika. Mara ya mwisho uliandaliwa Morocco. Je, wanauchumi Kenya na barani Afrika wanauona wa umuhimu gani mkutano huo? Caro Robi amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kiuchumi kutoka Kenya, James Shikwati, kupata majibu.

Kusikiliza mahojiano kati ya Caro Robi na James Shikwati bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.