Shambulio la kujitoa muhanga mjini Manchester, Uingereza lawaua watu 22 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 50. Rais wa Marekani Donald Trump akutana na rais wa Palestina Mahmoud Abbas. Na serikali ya Gambia yazifungia mali za Yahya Jammeh. Papo kwa Papo 23.05.2017.