Ushasikia kuhusu vyuo vikuu vinavyowafungulia milango wazee au watu waliostaafu kusoma pamoja na wanafunzi wengine wenye umri mdogo nchini Ujerumani. Hebu yasikilize makala haya ya Sura ya Ujerumani yaliyoandaliwa na mwandishi wa DW aliye mjini Berlin, Harrison Mwilima na utajifunza mengi bila shaka.