Watu walio na umri wa zaidi ya miaka 40 haswa wanawake wako katika hatari ya kupata ugonjwa wa goiter pamoja na watu wanaozaliwa na kukulia katika maeneo yenye upungufu wa madini ya iodini. Fahamu mengi kuhusu maradhi ya Goita kwenye video hii iliyoandaliwa na Fathiya Omar. #KurunziAfya