1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu ni kwanini masalia ya mijusi mikubwa ipo mjini Berlin

6 Machi 2019

Kugunduliwa kwa masalio ya wanyama wakubwa yani mijusi mikubwa au dainosaria kunadhihirisha kuwa wanyama hao waliwahi kuishi mkoa wa Lindi miaka milioni 160 iliyopita. Masalia ya wanyama hao kwa sasa yapo katika makumbusho ya Berlin Ujerumani, je ni kwanini yapo huko? Msikilize Awary Mkama katika kipindi hiki cha Makala yetu leo

https://p.dw.com/p/3EYO6