Zipo njia kadhaa zinazopendekezwa na wataalamu wa afya ambazo zinaweza kumsaidia mtu kujikinga na maradhi ya homa ya ini. Veronica Natalis anaangazia baadhi ya njia hizo pamoja na maelezo zaidi kuhusu ugonjwa huo kwenye video hii ya Kurunzi ya Afya Yako.