Ethiopia washerehekea Mwaka Mpya wa 200011.09.200711 Septemba 2007Wahabeshi kesho Jumatano ndo wanasherehekea millennium ya tatu. Yaani watakuwa wameingia mwaka mpya wa 2000.https://p.dw.com/p/CHjMMatangazoMwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Abeba anatuarifu juu ya shamrashamra zilizoandaliwa kusherehekea mwaka huo mpya.