1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ethiopia dhidi ya ndoa za utotoni

6 Oktoba 2017

Filamu ya katuni yatowa mafunzo kabambe kwa watoto wa Ethiopia juu ya kupambana na ndoa za utotoni za kulazimishwa

https://p.dw.com/p/2lOfW

Ni filamu ya katuni ya kusisimua kwa jina Tibeb Girls kutoka Ethiopia inayowapa mafunzo mengi watoto wa shule kuhusu kupambana na ndoa za kulazimishwa.