1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Elimu ya Tanzania bado ina changamoto kubwa

Hawa Bihoga29 Aprili 2021

Taasisi ya HakiElimu nchini Tanzania imezindua ripoti yake ya uchambuzi wa sera ya elimu nchini humo ya mwaka 2014 ambapo mbali na mambo mengine inaonesha kuwa elimu ya taifa hilo haimuandai mwanafunzi kikamilifu kuingia katika ushindani wa soko la dunia huku kukiwa na ombwe kubwa la msukumo wa kisheria. Hawa Bihoga alitulea ripoti hii.

https://p.dw.com/p/3sjhE