You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Maelfu ya Walebanon warejea baada ya kusitishwa kwa vita
Maelfu ya raia wa Lebanon wamerejea nyumbani kusini mwa Beirut Jumatano, baada ya mpango wa kusitisha vita.
Viongozi wapongeza makubaliano ya usitishwaji vita Lebanon
Baada ya taarifa hiyo, kundi la Hamas limesema pia liko tayari kusitisha vita na Israel katika Ukanda wa Gaza.
Usitishaji wa mapigano kati ya Israel na Hezbollah waanza
Usitishaji wa mapigano kati ya Israel na Hezbollah waanza kutekelezwa
Mkuu wa NATO Rutte afanya mazungumzo na Trump huko Florida
Mkuu wa NATO Rutte alifanya mazungumzo na Trump huko Florida
COP29: Makundi yatoka kwenye ukumbi wa mazungumzo kwa hasira
Mgawanyiko waonekana katika mazungumzo ya COP29 kati ya serikali za mataifa tajiri na nchi zinazoendelea
Trump amteua mfanyabiashara Bessent kama waziri wa fedha
Trump amteua mfanyabiashara Scott Bessent kama waziri wa fedha
Urusi: Kombora dhidi ya Ukraine onyo kwa nchi za Magharibi
Ikulu ya Kremlin imesema shambulio la kombora la Alhamisi dhidi ya Ukraine ni ujumbe muhimu kwa mataifa ya Magharibi.
Pyongyang yasema Marekani imethibitisha uadui usiobadilika
Matamshi ya Kim dhidi ya Marekani yametolewa miezi michache kabla ya kurejea madarakani kwa Donald Trump.
Bodi ya IAEA yailaani Iran kwa kushindwa kutoa ushirikiano
Bodi ya Shirika la (IAEA) imeilaani Iran kwa kushindwa kulipa ushirikiano shirika hilo la kudhibiti nishati ya nyuklia.
Putin: Vita vya Ukraine vinachukua mkondo wa kidunia
Serikali ya Ukraine imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ya haraka dhidi ya Urusi.
Palestina yalaani kura ya turufu ya Marekani kuhusu Gaza
Palestina yalaani hatua ya Marekani ya kuzuia azimio la kusitishwa kwa mapigano huko Gaza katika Baraza la Usalama.
Zelensky: Marekani ikipunguza ufadhili, tutashindwa vita
Trump amekuwa akionyesha kupinga hatua ya utawala wa Biden kuipatia Ukraine mabilioni ya dola.
Amos: Usitishwaji vita kati ya Israel na Hezbollah wakaribia
Mjumbe huyo wa Marekani yuko ziarani mjini Beirut.
Marekani yamtambua Urrutia kama rais mteule wa Venezuela
Gonzalez Urrutia ameshukuru kwa kutambuliwa na Marekani.
Jeshi la Urusi lasema Ukraine imefyatua kombora la masafa
Jeshi la Urusi lasema Ukraine imefyetuwa makombora ya masafa marefu kutoka Marekani, katika mji wa Bryansk
Zelenskiy: Mwaka 2025 kuamua atakayeshinda vita Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema Jumanne kuwa mwaka 2025 ndio mwaka utakaoamua ni nani atakayeshinda vita vin
Mjumbe wa Marekani kuhusu Mashariki ya Kati yuko Beirut
Mjumbe wa Marekani kuhusu Mashariki ya kati yuko Beirut kuzungumzia kusitisha vita kati ya Israel na Hezbollah
Urusi yapinga azimio la kusitisha vita Sudan
Urusi yapinga azimio la kusitisha vita Sudan katika baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Ikulu ya Kremlin imeonya Ukraine kutumia makombora
Ikulu ya Kremlin imeonya kuhusu uamuzi uliotangazwa na Marekani wa kuiruhusu Ukraine kutumia makombora yake ya masafa.
Ukraine: Uamuzi wa Marekani utabadili mwelekeo wa vita
Ukraine imesisitiza kuwa kadiri Ukraine inavyoweza kushambulia, ndivyo vita vitakavyopungua.
Marekani yaruhusu makombora yake kutumika dhidi ya Urusi
Rais Joe Biden ameiruhusu Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu kuishambulia miundombinu ya kijeshi ndani ya Urusi.
Biden airuhusu Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu
Kurejea kwa Trump madarakani kunaendelea kuzusha hofu kuhusu mustakabali wa uungaji mkono wa Marekani kwa Kyiv.
Rais wa China aahidi kushirikiana na utawala ujao wa Trump
Rais wa China Xi Jinping asema nchi yuko tayari kufanya kazi na utawala ujao wa Marekani
Hamas yasema iko tayari kusitisha vita
Hamas yamtaka Rais mteule wa Marekani Donald Trump 'aishinikize' Israel ikomeshe vita
Israel yalaumiwa kwa mauaji ya halaiki
Marekani, mshirika mkuu wa Israel imesema haikubaliani na matokeo ya utafiti wa kamati ya Umoja wa Mataifa
Biden amkaribisha Trump Ikulu ya White House
Biden amempongeza Trump kwa ushindi wake, wakati alimpokaribisha akimuahidi mchakato mzuri wa kumkabidhi mamlaka.
US kuongeza misaada Ukraine kabla ya Trump kuingia mamlakani
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Antony Blinken amesema nchi yake itazidisha misaada Ukraine kabla ya Januari 20.
Rais mteule Donald Trump awateua wapambe wake
Trump ametangaza kuwa Bilionea Elon Musk, ataongoza idara mpya ya serikali ya ufanisi.
IMF na Benki ya Dunia kuendelea kushirikiana na Trump
Wakuu wa Benki ya Dunia na IMF wamesema wako tayari kushirikiana na rais mteule wa Marekani Donald Trump.
Trump ateuwa wafuasi wenye msimamo mkali nyadhifa kuu
Rubio na Mbunge Michael Waltz, anayetazamiwa kuwa Mshauri Mkuu wa Usalama wa Taifa, wana msimamo mkali dhidi ya China.
China, Urusi lazima zipambane na udhibiti wa Marekani
Mazungumzo hayo yamefanyika huku rais wa zamani wa Urusi akiwashtumu viongozi wa Ulaya kwa kuchochea mzozo wa Ukraine.
Je, ni kwa kiasi gani Warepublican watabadilisha Marekani?
Warepublican wana wingi katika Seneti na huenda pia wakadhibiti Baraza la Wawakilishi mara kura zote zitakapohesabiwa.
Marekani yashambulia maeneo ya waasi wa Kihouthi Yemen
Marekani imesema ndege zake za Kivita zimefanya mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo ya waasi wa Kihouthi nchini Yemen.
Merz: Ningekuwa Kansela ningefanya makubaliano na Trump
Kiongozi wa chama cha CDU cha Ujerumani amesema angekuwa Kansela angejikita katika kutafuta makubaliano na Donald Trump.
Trump amteua Susie Wiles kuwa Mtendaji Mkuu wa Ikulu
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua Susie Wiles kuwa afisa mkuu wa utumishi wa ikulu ya White House.
Biden awataka Wamarekani "kutuliza joto la kisiasa"
Rais wa Marekani Joe Biden amelihutubia taifa akiahidi kukabidhi madaraka kwa njia ya amani kwa Donald Trump.
Biden atarajiwa kuhutubia taifa
Biden anatarajiwa kuhutubia taifa siku ya Alhamisi, baada ya Trump kushinda tena urais.
Biden amualika Trump katika Ikulu ya White House
Trump akubali mualiko wa Biden katika Ikulu ya White House.
Harris akubali kushindwa, ampongeza Donald Trump
Donald Trump amemshinda Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais. Wafuasi wake wanasherehekea, wapinzani wachukizwa
Upi mtazamo wa Trump kuelekea Afrika?
Kurejea kwa Donald Trump katika Ikulu ya White House kunaashiria mwanzo wa mtikisiko mkubwa kimataifa.
Pongezi zaendelea kumiminika kwa Trump
Pongezi zikiwemo kutoka Afrika zimeendelea kumiminika kwa Donald Trump baada ya ushindi wake dhidi ya Kamala Harris.
Trump ajitangaza mshindi wa urais Marekani
Trump ametangaza kushinda urais akisema ni ushindi wa kihistoria ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa.
Nini kinatokea ikiwa mgombea atatangaza ushindi mapema?
Donald Trump alipinga matokeo ya uchaguzi wa rais 2020. Nini kitatokea ikiwa itathibitishwa kuwa ameshindwa tena 2024?
Viongozi wa dunia wampongeza Donald Trump
Viongozi mbalimbali wa dunia wamejitokeza kumpongeza Donald Trump kwa ushidi wake dhidi ya Kamala Harris.
Trump arejea White House kwa kishindo
Vyombo vya habari nchini Marekani vimemtangaza Donald Trump mshindi wa kiti cha urais baada ya kupata kura zaidi 277.
Donald Trump: Wamarekani mmefanikisha ushindi
Trump atangaza kushinda urais wa Marekani ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa bado
Kura za uchaguzi wa urais Marekani zaendelea kuhesabiwa
Kura za uchaguzi wa urais zinaendelea kuhesabiwa Marekani, baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa.
Marekani yaisamehe Somalia deni la zaidi ya dola bilioni 1
Mwaka huu Marekani imetoa msaada wa dola bilioni 1.2 wa kimaendeleo, kiuchumi, kiusalama na kibinadamu kwa Somalia .
Marekani yaamua kati ya Donald Trump na Kamala Harris
Wapigakura wanakabiliwa na chaguo gumu kati ya Donald Trump wa Republican na Kamala Harris wa Democratic.
Washington DC yasalia tulivu kabla ya kivumbi
Washington DC haijashuhudia hekaheka zake za kawaida siku ambayo Wamarekani wanateremka vituoni kumchagua rais mpya.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 70
Ukurasa unaofuatia