Katika mashindano ya kombe la dunia la kandanda yanayoendelea huko nchini Urusi, Ufaransa inashuka dimbani kumenyana na Argentina Jumamosi (30.06.2018). Uruguay nayo itakwaana na Ureno katika mechi ya pili ya mchujo itakayoanza saa mbili usiku. Kuhusu michuano hiyo. Veronica Natalis anazungumza na mwanamichezo wetu Jacob Safari.