Serikali ya mkoa wa Kivu kusini huko DRC imechukua uamuzi wa kukabidhi rasmi hatimiliki za umiliki wa misitu kwa jamii za wanavijiji wanaopakana na hifadhi ya wanyama ya Itombwe katika wilaya ya Mwenga. Sikiliza ripoti ya Mitima Delachance kutoka Bukavu.