Ungana na mwenzetu Anuary Mkama aliyezungumza na balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Luteni Jenerali Paul Meela anayezungumzia kwa kina kuhusiana na hatua ya taifa hilo hatimaye baada ya muda mrefu kuruhusiwa kuwa mwanachama mpya na wa saba wa Umoja huo katika makala hii ya Kinagaubaga.