Madai ya wabunge kulipwa mishahara minono inaibua ghadhbu miongoni mwa wadau wananchi wa DRC kutokana na wengi kuishi katika hali ya umasikini uliotopea, lakini wengi wanajiuliza ni yepi matumizi ya fedha za umma? katika makala yetu Leo mwenyeji wako Saleh Mwanamilongo.