1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Baraza la usalama lawaekea vikwazo Waasi wa M23

2 Januari 2013

Waasi wa M23 huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamesema vikwazo vilivyowekwa na baraza la usalama la Umoja wa Mataifa havitateteresha jitihada zao za mazungumzo ya amani kwa upande wao.

https://p.dw.com/p/17CBg
Waasi wa M23 hawashtushwi na vikwazo
Waasi wa M23 hawashtushwi na vikwazoPicha: AP

Kauli hiyo inafuatia hatua ya siku ya Jumatutu wiki hii ya baraza la usalama kutangaza vikwazo vya silaha dhidi ya waasi wa M23 sambamba na kundi la waasi wa Rwanda, FDLR. Pamoja na kufuatilia vingine vya awali dhidi ya baadhi ya viongozi wa kundi hilo. Kutoka eneo la Bunagana huko mashariki mwa Congo, Sudi Mnette amezungumza na Msemaji wa M23, Bertrand Bisimwa na kumuuliza kwanza wameipokeaji hatua hiyo.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Josephat Charo