1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Daktari bingwa mwanamke wa uzazi

Sylvia Mwehozi
28 Machi 2022

Katika eneo lenye imani kali za kidini Kaskazini mwa Ghana wanawake hupendelea kuhudumiwa na madaktari wa kike hospitali kuliko wanaume. Daktari mmoja mwanamke amekuwa mkombozi wao katika vidio ifuatayo ya #kurunziafya.

https://p.dw.com/p/498KX