You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Chuki dhidi ya Wayahudi
Chuki dhidi ya Wayahudi inamaanisha uhasama wowote, upendeleo au ubaguzi dhidi ya Wayahudi
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Papa Francis alaani visa vya kuchomwa Quran Tukufu
Matamshi ya Papa Francis yanafuatia kitendo cha wiki iliyopita ambapo mtu mmoja aliichoma Quran Tukufu Stockholm, Sweden
Misimamo mikali ya mrengo wa kulia yaongezeka Ujerumani
Afd kiliainishwa kama chama kinachoshukiwa kuwa na itikadi kali za mrengo wa kulia
Watu 7 mbaroni kwa ubaguzi wa rangi dhidi ya Vinicius Junior
Watu saba wakamatwa kuhusiana na ubaguzi wa rangi dhidi ya mchezaji wa soka Vinicius Junior.
Zelensky: Urusi itashindwa kama Manazi wa Ujerumani
Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine unakumbushia matukio mabaya ya Wanazi wa Ujerumani.
Rais wa Ujerumani aomba msamaha kwa ukatili wa Manazi
Rais Frank-Walter Steinemeir amekuwa mkuu wa kwanza wa nchi wa Ujerumani kutoa hotuba kwenye kumbukumbu hiyo.
Uasi wa Ghetto la Warsaw, miaka 80 baadae
Miaka 80 iliyopita, Wayahudi waliokuwa wamefungwa katika Ghetto la Warsaw waliasi dhidi ya wakaliaji wa Kijerumani.
Mbiu ya Mnyonge: Ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu
Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia sababu za kuongezeka kwa chuki dhidi ya Uislamu kwenye Mataifa ya Magharibi.
Papa Francis akamilisha ziara ya siku sita barani Afrika.
Papa Francis akamilisha ziara ya siku sita barani Afrika.
Ujerumani yawakumbuka wahanga wa mauaji ya kuangamiza
Ujerumani leo inawakumbuka wahanga wa utawala wa Kinazi waliouawa kuelekea mwishoni mwa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Dunia yawakumbuka wahanga wa Mauaji ya Holocaust
Nchini Israel kumbukumbu hii ilianza mapema sana, na katika siku tofauti.
'Chuki dhidi ya Wayahudi inaongezeka tena ulimwenguni'
Dani Dayan anauonya ulimwengu kwamba visa vya chuki dhidi ya Wayahudi vinaongezeka na kutaka hatua kuchukuliwa haraka.
Kiongozi wa makumbusho ya Yad Vashem kuizuru Ujerumani
Katika mahojiano maalumu na DW Dayan amesikitika kwamba chuki dhidi ya Wayahudi imeenea tena duniani.
Shambulizi Paris Ufaransa, watu watatu wauawa
Watu watatu wameuawa kwa kupigwa risasi Paris, baada ya risasi kufyatuliwa dhidi ya kituo cha Wakurdi.
UN: Matamshi ya chuki yanachochea vita vya Ethiopia
Matamshi ya chuki yanachochea vita vya kaskazini mwa Ethiopia, kati ya wanajeshi wa serikali na waasi wa Tigray.
Kansela Scholz na Lapid wajadili mipango ya nyuklia ya Iran
Israel mara zote imekuwa ikipinga makubaliano ya nyuklia na Iran akisema yataleta kitisho kwake na ukanda.
Maoni: Olaf Scholz alishindwa kumnyamazisha Mahmoud Abbas
Kuchelewa kwa kansela Olaf Scholz kujibu haraka kunaonesha mambo hayaendi sawa katika desturi ya kumbukumbu ya Holocaust
Abbas asahihisha kauli yake kuhusu Holocaust
Mahmoud Abbas azusha hasira kwa kauli yake kuhusu Holocaust, lakini ajisahihisha baadaye.
Baraza la maimamu laonya kuhusu matamshi ya chuki Kenya
Baraza la maimamu na wahubiri nchini Kenya linaishinikiza tume ya uchaguzi IEBC kuwachukulia hatua wanasiasa wanaoeneza kauli za chuki hasa katika kaunti za pwani. Viongozi hao wa kidini wamewaasa vijana kutotumiwa na wanasiasa kuzua vita dhidi ya wapinzani wao. Isikilize ripoti ya mwandishi wa DW Thelma Mwadzaya.
Upotoshaji mtandaoni wachochea hofu Kenya kuelekea uchaguzi
Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Kenya wanakabiliwa na taarifa potofu za kisiasa, matamshi ya chuki na uchochezi
Israel yafanya kumbukumbu ya mauaji ya Holocaust
Israe imefanya kumbukumbu ya mauaji ya halaiki ya mamilioni ya wayahudi yaliyofanywa na utawala wa Wanazi.
Chama cha AFD kinaweza ushtakiwa kwa siasa za chuki
Katika uamuzi uliotolewa jana imesema, imebaini ishara zote zinazoonesha AfD ina malengo yaliyo kinyume na katiba
Uchunguzi huru: Hakuna ushahidi wa chuki dhidi ya Uyahudi DW
Uchunguzi huo ulitathmini madai ya baadhi ya wafanyakazi wa DW kuchapisha matamshi ya chuki dhidi ya Uyahudi mtandaoni.
Israel yalaumiwa kwa vitendo vya ubaguzi wa rangi
Amnesty International imeungana na mashirika mengine ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu ambayo Israel inayapinga.
Dunia yaadhimisha mauaji ya halaiki ya Holocaust
Wahanga wa mauaji ya halaiki ya Holocaust na wanasiasa wametahadharisha kuhusiana na ongezeko la chuki dhidi ya Wayahudi
Auschwitz - mahali penye historia ya kutisha
Mamilioni ya Wayahudi waliuwawa katika kambi hiyo wakati wa enzi za utawala wa kinazi nchini Ujerumani
Mlinzi wa miaka 100 wa enzi ya Manazi kushitakiwa kwa mauaji
Kesi ya mlinzi wa zamani wa Sachsenhausen yaanza Ujerumani
Ulaya yawakumbuka Wasinti, Waroma waliouawa na Manazi
Wasinti na Waroma 4,300 waliuawa na manazi mwaka 1944, lakini hadi leo vizazi vyao havijalipwa fidia.na kuUkatil
Johnson alaani ubaguzi wa rangi dhidi ya wachezaji
Boris Johnson asema timu ya England yapaswa kusifiwa kama mashujaa na si kuelekezewa ubaguzi wa rangi.
Muuaji wa Canada alikuwa na chuki dhidi ya Waislamu - Polisi
Mshukiwa alikamatwa na amefunguliwa mashitaka ya mauaji ya kukusudia na huenda akafunguliwa na la ugaidi.
Kumbukumbu za shambulizi dhidi ya waumini wa Kiyahudi Halle
Wengi katika jamii ya Kiyahudi wanahisi serikali haikuchukua hatua za kutosha kulikabili suala hilo.
AfD yajitenga na matamshi ya chuki ya msemaji wake
Filamu fupi yenye matamshi hayo ilirushwa kwa mara ya kwanza jioni ya Jumatatu (Septemba 29).
Ni nini huchochea machafuko ya chuki Afrika Kusini?
Katika makala ya Mbiu ya Mnyonge tunaangazia kwa nini mashambulio ya ubaguzi yanajirudia nchini Afrika ya Kusini. Msimulizi wako ni msimulizi wako ni Saleh Mwanamilongo.
Utafiti waonyesha kuwa Wamarekani vijana hawajui Holocaust
Utafiti mpya umeonesha kwamba takriban asilimia 11 ya vijana nchini Marekani hawafahamu kuhusu mauaji ya Holocaust.
Ujerumani yapiga marufuku kundi la Kinazi la Nordangler
Kundi la Nordadler au Tai wa Kaskazini lilipigwa marufuku na waziri wa mambo ya ndani Horst Seehofer.
Steinmeier: Kushindwa kwa utawala wa Manazi ni ukombozi
Ujerumani inashukuru kushindwa kwa utawala wa Manazi uliomaliza Vita Kuu ya Pili ya Dunia Ulaya miaka 75 iliyopita.
Karandinga: Maneno ya Chuki, Maneno ya Amani
June, mwaandishi habari anaamua kupambana na kuongezeka kwa kauli za chuki katika nchi yake ya Magange.
Awamu ya 5 ya Karandinga imerejea!
Awamu ya 5 ya mchezo wa redio wenye mafanikio makubwa ianendelea. Jiandae kusikiliza vipindi vipya vya kufurahisha na kusisimua kuhusu masuala muhimu kama vile kauli za chuki, kuzuia kipindupindu na uzalishaji envdelevu wa mkaa.
Kumbukumbu za mauwaji ya halaiki ya Holocaust Magazetini
Kumbukumbu za mauwaji ya halaiki ya Holocaust Magazetini
Miaka 75 tangu kambi ya Auschwitz ilipokombolewa
Watu hao wametoa mwito wa kuhakikisha kwamba maafa kama hayo hayatokei tena duniani.
umbukumbu ya unyenyekevu ya Steinmeier Yad Vashem
Maoni: Hotuba ya Steinmeiier katika kumbusho la Yad Vashem
Viongozi wakemea kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayahudi
Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence amewataka viongozi duniani kuhakikisha mauaji mengine ya Wayahudi hayajirudii.
Viongozi wa dunia wakumbuka mauaji ya Wayahudi
Viongozi mbalimbali duniani kuhudhuria kumbukumbu ya miaka 75 tangu kambi ya mauaji ya Auschwitz ilipokombolewa.
Kongamano la Yad Vashem dhidi ya chuki dhidi ya wayahudi
Kongamano la Yad Vashem dhidi ya chuki dhidi ya wayahudi
Chuki yamuondoa Borislav wa Bulgaria.
Hatua hiyo inafuatia matamshi ya kibaguzi wakati wa mechi ya kufuzu michuano ya Euro ya 2020, mjini Sofia, Bulgaria.
Merkel: Chuki dhidi ya Wayahudi ikabiliwe
Kansela Angela Merkel ahimiza juhudi za dhati dhidi ya chuki dhidi ya Wayahudi
Maoni: Hatari kubwa kwa Wayahudi nchini Ujerumani
Baada ya shambulizi dhidi ya Wayahudi mjini Halle, umuhimu wa kuzilinda taasisi za kiyahudi ni dhahiri
Mshambuliaji wa sinagogi Ujerumani alielezea azma yake kabla
Mshambuliaji wa sinagogi la Halle Ujerumani, alielezea msimamo wake mtandaoni wiki moja iliyopita.
Imran Khan ajenga daraja kati ya mashariki na magahribi
Khan alizungumzia Uislamu - dini yake - lakini alitumia mifano tofauti kabisaa kufikisha ujumbe kwa hadhira ya dunia.
"Ni sifa ya aina yake na ya kipekee ulimwenguni kote"
Mji wa Matera ni mzuri na pia ni miongoni mwa vituo muhimu vya utamaduni barani Ulaya.
Maoni: Vurugu Afrika Kusini zaharibu ndoto ya Afrika
Afrika Kusini imekubwa tena na vurugu za chuki dhidi ya wageni. Lakini makali yake yanaelekezwa kwa waliodhaifu zaidi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 5
Ukurasa unaofuatia