1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto zinazomkabili Rais mpya Uhuru Kenyatta wa Kenya

Samia Othman10 Aprili 2013

Rais Uhuru Kenyatta akabiliwa na changamoto nyingi mojawapo ikiwa ni kuwaunganisha Wakenya kuwa kitu kimoja.

https://p.dw.com/p/18Cur
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya pamoja na mkewe
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya pamoja na mkewePicha: REUTERS

Baada ya Rais Uhuru Muigai Kenyatta kuapishwa hapo jana kama rais wa nne wa Jamhuri ya Kenya, ambapo miongoni mwa changamoto kubwa zaidi zinazomkabili rais huyo mpya ni namna ya kuwaunganisha Wakenya na kuwa kitu kimoja, kwani hata katika uchaguzi wa Machi nne uliomuweka yeye madarakani, ni wazi kuwa watu walijitokeza kuwapigia kura wagombea wao kwa misingi ya kikabila. Je ni vipi Kenyatta ataweza kuikwamua nchi yake kutoka mizizi ya ukabila na kujenga umoja wa kitaifa? Amina Abubakar alizungumza na Profesa Tom Namwamba ni mchambuzi wa maswala ya kisiasa nchini Kenya. Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri: Mohammed Khelef