1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za wajane Afrika

Veronica Natalis 5 Julai 2018

Katika makala ya Wanawake na Maendeleo Veronica Natalis anaangalia juhudi za wanawake wajane kutoka baadhi ya nchi za Afrika Mashariki ambao wanakabiliana na hali ngumu za uchumi katika familia zao, lengo likiwa kuwahamasisha wanawake wajane kufanya shughuli za kuwaingizia kipato na kuyamudu mahitaji ya familia zao baada ya waume zao kufariki.

https://p.dw.com/p/30tLg