Kingsley Anere alijikuta kuwa baba akiwa na umri wa miaka 17. Tena si baba tu bali baba wa watoto wawili wa kiume pacha. Wakati huo alikuwa akijiandaa kujiunga na chuo kikuu. Ili kujua changamoto zilizompata sawa na masaibu yanawakumba wengine kama yeye, tazama video hii.