Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kujiunga na ukanda wa biashara huru barani Afrika AfCFTA ni hatua nzuri lakini inazusha wasiwasi kuhusu mafanikio ya nchi hiyo ambayo bajeti yake inategemea kwa asilimia kubwa ulipishaji ushuru wa bidhaa kutoka nje. Makala Yetu leo Inaangazia changamoto za kujiunga na AfCFTA.