Muda wa mwisho uliotolewa kwa watumishi wa umma nchini Kenya kupata chanjo dhidi ya virusi vya corona ni Agosti 23. Kulingana na agizo lililotolewa na mkuu wa huduma kwa umma serikalini nchini humo mapema mwezi huu Joseph Kinyua, hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa wale ambao hawatakuwa wamechanjwa. John Juma amezungumza na katibu mkuu wa chama cha walimu Collins Oyuu