1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama cha upinzani CNDD chatishia kususia uchaguzi Burundi

Hamida Issa14 Agosti 2019

Chama cha upinzani cha CNDD nchini Burundi kimetishia kususia uchaguzi ujao nchini humo endapo mazingira kisiasa, kiusalama na kisheria hayataboreshwa. CNDD kimesema wafuasi wao wanaedelea kunyanyaswa huku mikutano yao ikizuwiliwa na vyombo vya dola.

https://p.dw.com/p/3Ntng