Hussein Guleid alikuwa na kile ambacho Wasomali wengi wanakiota: Kupata pasi ya Marekani na taaluma nzuri katika sekta ya afya ya Marekani. Lakini ziara nyumbani kwa wazazi wake mwaka 2016 ilibadilisha kila kitu. Aliona nchi ya Somaliland yenye amani na fursa nyingi. Alianzisha biashara nzuri na hakutazama nyuma tena.