Barani Afrika, kilimo aina ya vitalu nyumba kimeanza kutumiwa kama njia mbadala ya kusuluhisha ukosefu wa upatikanaji wa chakula unaosababishwa na vita Ukraine. Hususan nchini Kamerun, aina hiyo ya kilimo ambapo mimea hukuzwa kwenye vitalu nyumba sasa inaweza kusaidia kaya nyingi kumudu bei ya vyakula. Mengi zaidi ni kwenye video hii ya Kurunzi.