Burundi yatangaza siku tano za maombolezo ya vifo vya wanajeshi Somalia
18 Septemba 2009
Serikali ya Burundi imesema haitawaondoa wanajeshi wake nchini Somalia,kufuatia shambulio la hapo jana ambapo wanajeshi wake 10 waliuawa na wapiganaji wa kundi la Al Shabab.
https://p.dw.com/p/JkBW
Matangazo
Burundi imetangaza leo siku tano za kuomboleza vifo vya wanajeshi hao.Mwandishi wetu wa mjini Bujumbura na ripoti kufuatia vifo vya wanajeshi hao.