Serikali ya Burundi kupitia waziri wake wa sheria imesema haitokubali Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ya ICC, kuendesha uchunguzi wake Burundi kama ilivyotangangazwa na mkuu wa mahakama hiyo.
https://p.dw.com/p/2nPTI
Matangazo
Hata hivyo msemaji wa chama cha Uprona kisichokubaliwa na serikali, Tatien Sibomana amekaribisha uamuzi huo wa ICC kufuatia kutowajibika kwa vyombo vya sheria nchini. Kwa mengi zaidi sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Amida Issa kutoka Bujumbura.