You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Bunge la Israel lavunjwa na kuitishwa uchaguzi mpya
Uchaguzi mpya wa Israel kufanyika septemba
Spitzenkandidaten: Mpambano wa nafasi za juu EU
Viongozi wakuu wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wako mjini Brussels kujadili mgawanyo wa nafasi za uongozi.
Nani akabidhiwe wadhifa gani katika Umoja wa Ulaya
Nani akabidhiwe wadhifa gani katika Umoja wa Ulaya
Kinyang'anyiro cha Madaraka baada ya Uchaguzi wa Ulaya
Kinyang'anyiro cha Madaraka baada ya Uchaguzi wa Ulaya
Maoni: Mustakabali wa mashaka kwa serikali ya Merkel
null
Uchaguzi EU: Ni mchanganyiko wa vilio na furaha
Kukubalika kwa vyama hivyo kumekuja kwa gharama ya vyama vikuu na vikongwe.
Uchaguzi Ulaya: Vyama vikuu vyapata pigo, Kijani wapeta
Vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia pia vimepata kura nyingi katika uchaguzi huu.
Vyama vya siasa kali vyahofiwa kuongeza viti Bunge la Ulaya
Chama tawala cha Conservative na cha upinzani cha Labour nchini Uingereza vyahofia kubwagwa na wenye siasa kali.
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya waendelea
Ujerumani na Ufaransa zinapiga kura leo kuchaguwa wabunge wa Bunge la Ulaya.
Hatua ya mwisho ya uchaguzi wa Bunge la Ulaya
null
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya Ireland na Jamhuri ya Cheki
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya Ireland na Jamhuri ya Cheki
Uchaguzi wa bunge la Ulaya waanza Uholanzi na Uingereza
Uchaguzi unaleta hali ya kupimana nguvu kati ya wanaoendeleza siasa za kizalendo na wanaotaka Umoja wa Ulaya uimarishwe.
Brexit: Kiongozi wa baraza la wawakilishi Uingereza ajiuzulu
Kiongozi wa baraza la wawakilishi, Uingereza Andrea Leadsom amejiuzulu.Akosa imani na mipango ya Brexit.
Propaganda za siasa kali kuathiri uchaguzi wa bunge la Ulaya
Bunge la Ulaya na siasa kali dhidi ya wageni
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya
Wananchi wa Sweden wanaufuatilia vipi uchaguzi huo na yapi yamejitokeza zaidi katika kampeni zilizokwisha anza. Kufahamu mengi Sylvia Mwehozi amezungumza na mkaazi wa huko, Mccowell Kalisa.
Wagiriki wanavyojitayarisha kuelekea Uchaguzi wa Bunge la Ulaya
Tarehe 23 Mei, wapiga kura kwenye mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya wataanza kuwachaguwa wabunge wa kuwawakilisha kwenye Bunge la Ulaya. Mohammed Khelef amezungumza na Kayu Ligopora, Mtanzania anayeishi kwenye mji mkuu wa Ugiriki, Athens, kutaka kujuwa namna Wagiriki wanavyojitayarisha kuelekea uchaguzi huo muhimu kwa siasa za Ulaya.
Kampeni ya uchaguzi wa bunge la Ulaya
Kampeni ya uchaguzi wa bunge la Ulaya zimeshaanza katika nchi mbalimbali wanachama. Je, ni masuala gani yanayojitokeza mno kwenye kampeni hizo? Ili kupata taswira kamili, John Juma amezungumza na Hashil Seif ambaye ni raia wa Denmark na kwanza anazungumzia vyama vyenye ushindani mkali nchini humo.
Waafrika wanavyofuatilia uchaguzi wa Umoja wa Ulaya
Kampeni za uchaguzi wa Umoja wa Ulaya zimeshika kasi. Wapiga kura katika nchi wanachama wa umoja huo watateremka vituoni Mei 23-26, kulichagua bunge jipya. DW imezungumza na Mohamed Saleh, mkaazi wa mjini Paris, Ufaransa kutaka kujua hali jumla kuelekea uchaguzi huo na jinsi wakaazi wasio na asili ya Ufaransa hususan kutoka Afrika wanavyoufuatilia.
Bunge la Marekani latishia kumwajibisha Mwanasheria Mkuu
Katika hali isiyo ya kawaida, Kamati ya Sheria ya Bunge la Marekani ilijikuta ikizungumza na kiti kitupu.
Uhispania baada ya Uchaguzi wa Bunge
Uhispania baada ya Uchaguzi wa Bunge
Rais Trump atumia kura ya turufu kupinga azimio la bunge
Spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi amesema uamuzi wa Rais Trump maana yake ni kuendelea kwa vita vya Yemen.
Bunge la Misri kuidhinisha mageuzi ya katiba
Wapinzani wanasema hatua ya bunge inapania kuirudisha nchi katika utawala wa kiimla kwa kumpa nafasi rais Sisi kubakia
Michel Barnier:Uingereza hatarini kutoka EU bila makubaliano
Kiongozi wa mjadala wa Brexit Umoja Ulaya Michel Barnier aonya hatari ya Uingereza kuondoka EU bila Makubaliano
Wabunge wa Uingereza wapinga mapendekezo mbadala ya Brexit
Chama cha DUP kimesema mpango wa Theresa May ni hatari kwa umoja kati ya Ireland na majimbo mengine ya Uingereza.
Wabunge wa Uingereza wampinga Waziri Mkuu Theresa May
Baadhi ya wajumbe wa chama chake cha Kihafidhina wamtaka Waziri Mkuu May ajiuzulu nafasi yake.
Bunge lashinikiza kuhodhi mchakato wa Brexit
Bunge la Uingereza huenda likashinda katika kura ya kushinikiza kuchukua udhibiti wa mchakato wa Brexit
Bunge laridhia kuchelewesha Brexit
Maoni mbalimbali baada ya Uingereza kupiga kura jana usiku kuomba mchakato wa kujiondoa kutoka kwenye Umoja wa Ulaya.
Wabunge wa Uingereza wachagua kurefusha Brexit
Wabunge wa Uingereza wachelewesha muda wa nchi hiyo kujitoa kutoka Umoja wa ulaya
EU inadai Uturuki inajihusisha ukiukaji wa haki za binadamu
Wabunge katika bunge la Ulaya wamepiga kura kwa wingi kulikataa ombi la taifa la Uturuki kutaka kujiunga na Umoja wa Ula
Wabunge wazuia Uingereza kuondoka EU bila makubaliano
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuizuia nchi hiyo kuondoka katika Umoja wa Ulaya bila makubaliano.
Uingereza yatakiwa ibadilishe mkakati katika suala la Brexit
Umoja wa Ulaya wasimama pamoja wakati bunge la Uingereza linapoukataa kwa manyingine mpango wa Theresa May.
Bunge la Uingereza laukataa mpango wa May kuhusu Brexit
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuupinga mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May kuhusu Brexit.
Walimwengu wasubiri kuijua hatima ya Brexit
Walimwengu wasubiri kuijua hatima ya Brexit
Brexit: Suala la mpaka wa Ireland bado halijapata ufumbuzi
Hata hivyo duru za pande zote mbili zimesema mazungumzo hayo yataendelea miongoni mwa maafisa wa ngazi za chini.
Wabunge wa democratic wamchunguza Trump upya
Wabunge wa chama cha democratic nchini Marekani wameanzisha uchunguzi mpya dhidi ya Rais Donald Trump.
Ushahidi wa Michael Cohen fedheha kwa Donald Turmp
Trump asema ushahidi huo ni wa uongo na kwamba unaiteremshia Marekani Hadhi yake kimataifa.
May aliahidi bunge kuchelewesha Brexit
Theresa May aliahidi bunge la Uingereza kuuchelewesha mchakato wa Brexit kwa miezi mitatu.
Bunge la Marekani lataka msaada wa Marekani kusitishwa Yemen
Bunge la Marekani lapiga kura kusitisha msaada wa Marekani kwa vita vya Yemen
Wabunge Marekani wafikia makubaliano ufadhili wa ukuta
Shughuli za serikali za Marekani
Bunge la Ulaya lamtambua Guaido kuwa kaimu rais Venezuela
Guaido amefutilia mbali uwezekano wa kuzuka vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini mwake
Theresa May ataka kubadilisha makubaliano ya Brexit
Hata hivyo taarifa ya makao makuu ya Umoja wa Ulaya mjini Brussels imesema haitawezekana mpango huo kujadiliwa tena.
Ujerumani: Mradi wa umeme wa Tanzania wapigiwa kura bungeni
Muswada huo pia unatoa mwito wa kuoanisha ulinzi wa mazingira na malengo ya maendeleo.
Trump na spika wa baraza la wawakilishi wanazidi kuzozana
Uhasama kati ya rais Donald Trump na spika waBaraza la Wawakilishi Nancy Pelosi umezidi kupamba moto.
Maysasa ataka mazungumzo na vyama vya upinzani kuhusu Brexit
Lakini May hakuzungumzia uwezekano wa kuongezewa muda wa miaka miwili kubakia Umoja wa Ulaya baada ya mwezi Machi.
Wabunge wa Uingereza waiweka pabaya Ulaya
May anakabiliwa na kipindi kigumu kabisa kwenye historia yake ya kisiasa
Bunge la Uingereza kupiga kura ya Brexit
Bunge la Uingereza Jumanne litafanya kura ya kihistoria kuhusiana na mpango wa Uingereza wa Brexit.
Uingereza: Kura muhimu kupigwa kuamua mchakato wa Brexit
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amewakabili wapinzani wa mpango wake juu ya Uingerezakujiondoa Umoja wa Ulaya,
Marekani: Wademocrat wapitisha bajeti isiyojumuisha ukuta
Baraza la Wawakilishi wapitisha bajeti ambayo yumkini itakwama katika Baraza la Seneti
Wamarekani wamlaumu Trump kusitishwa shughuli za serikali
Wamarekani wamlaumu rais Trump na maseneta wa Democratic kwa kustishwa shughuli za serikali nchini humo.
Baraza la Seneti lamkemea Trump kuhusu Saudia na Khashoggi
Maseneta wa pande zote za kisiasa wamesema Mwanamfalme wa Saudia alihusika na mauaji ya Khashoggi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 14
Ukurasa unaofuatia