Bunge la Uingereza limepiga kura kuunga mkono uchaguzi wa mapema uliotishwa na Waziri Mkuu, Theresa May Juni 8 kwa kura 522 dhidi ya 13; Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence ameionya Korea Kaskazini kutolichokoza jeshi lake; na Japan imeanza kuwaondoa wanajeshi wake Sudan Kusini.