You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Starmer aanza mchakato wa kupunguza makali ya Brexit
Starmer anakwenda Brussels kujaribu kurejesha upya uhusiano wa nchi yake na Umoja wa Ulaya uliotatizwa na Brexit.
Conservative wasaka uongozi mpya
Uhamiaji ndilo suala kuu kwenye mjadala wa kumsaka kiongozi mpya wa chama cha Conservative.
Je, mfuko wa dharura EU umeshindwa kuhudumia wahamiaji?
Wakaguzi wa hesabu wanasema mfuko wa euro bilioni 5 wa EU kwa ajili ya Afrika hautoshi kushughulikia uhamiaji.
EU kutoa msaada kukabiliana na athari za mafuriko Afrika
Umoja wa Ulaya nchini Chad ukisema msaada huo unanuiwa kuwasaidia watu walioathiriwa vibaya kabisa kufuatia mafuriko.
Uingereza kutanua ushirikiano wa ulinzi na Ujerumani
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anatarajiwa kufanya ziara wiki ijayo mjini Brussels.
Watu 30 wakamatwa kwa magendo ya binaadamu Uingereza
Zaidi ya watu 30 wametiwa nguvuni nchini Uingereza kufuatia msako dhidi ya magenge yanayosafirisha watu kwa magendo.
Mkutano wa kila mwaka wa chama cha Labour wafunguliwa
Mkutano huo ni wa kwanza katika kipindi cha miaka 15 kufanyika wakati chama hicho kikiwa madarakani.
Mwangaza wa Ulaya: Nchi za EU zaanzisha ukaguzi wa mipakani
Umoja wa Ulaya unakabiliana na ongezeko la wahamiaji. Hilo limesababisha baadhi ya nchi wanachama wa umoja huo kuanzisha upya ukaguzi wa mipakani ndani ya eneo la nchi za Jumuiya hiyo maarufu Schengen, ambalo kwa kawaida hutakiwa kuruhusu usafiri bila ukaguzi wa watu na mali zao. Ungana na Bakari Ubena.
EU yatenga bilioni 10 kwa nchi zilizoathiriwa na mafuriko
Ursula von der Leyen amesema kiasi euro bilioni 10 zitatolewa kwenye mfuko wa mshikamano wa Umoja wa Ulaya.
Von der Leyen kuizuru Poland kutathmini athari za mafuriko
Von der Leyen atalitembelea eneo moja mjini Warsaw kutathimini hali baada ya mafuriko na mvua kubwa kusababisha janga.
UK: Fedha za mpango wa Rwanda kuimarisha usalama mpakani
Serikali mpya ya chama cha Labour imefutilia mbali mpango huo tata, ikiutaja kama ufujaji wa fedha.
Uingereza yabadili matumizi ya fedha za mpango wa wahamiaji
Serikali mpya ya Labour iliyoingia madarakani mwezi Julai iliachana na mpango huo ikisema ni matumizi mabaya ya fedha.
Viongozi ulimwenguni walaani shambulio dhidi ya Trump
Wakati salamu za pole zikitolewa, Rais Joe Biden amesema idara ya usalama nchini humo inahitaji msaada zaidi.
Wahamiaji 8 wamekufa maji wakijaribu kwenda Uingereza
Wahamiaji 8 wamekufa Ufaransa baada ya boti kuzama wakijaribu kuvuka kwa boti kutoka Ufaransa kwenda Uingereza
14.09.2024 Matangazo ya mchana
Biden na Starmer wakutana Washington kuijadili Ukraine, Stoltenberg asema NATO ingeweza kufanya zaidi kuzuia vita vya Ukraine,Na China yaionya Ujerumani baada ya meli yake kupita Taiwan.
Biden na Starmer wakutana Washington kuijadili Ukraine
Urusi imeonya kuwa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu kutaitumbukiza NATO katika vita na Urusi.
Biden, Starmer waahirisha uamuzi wa makombora ya Ukraine
Starmer amesema alikuwa na mjadala mpana kuhusu mkakati na Biden lakini hakukuwa na mkutano kuhusu makombora.
Je, Mkuu wa sera za Kigeni ajae EU kuiunga mkono Israel?
Je! mwanadiplomasia wa ngazi ya juu ajaye EU, Kaja Kallas, atakuwa na mtazamo tofauti juu Israel?
Starmer asema mfumo wa afya UK unahitaji 'mageuzi au ufe'
NHS imetoka kuwa fahari ya kitaifa na kuwa ishara ya serikali na jamii iliyoelemewa na mzigo mkubwa.
Marekani na Uingereza zaipa Ukraine msaada wa $ bil. 1.5
Uingereza na Marekani zimeahidi kuipa Ukraine nyongeza ya msaada wa karibu dola bilioni 1.5 za Kimarekani.
Marekani, UK zaahidi jibu la haraka kwa maombi ya Ukraine
Marekani na Uingereza zimeahidi Jumatano, kupitia haraka maombi ya Ukraine kulegeza vizuwizi juu ya matumizi ya silaha.
US, UK kutafakari ombi la Kyiv kulegeza vikwazo vya silaha
Marekani na Uingereza zimeahidi msaada wa dola bilioni 1.5 kwa Ukraine wakati wa ziara ya mawairi wa mambo ya nje Kyiv.
Iran yaapa kuchukua hatua kujibu vikwazo vipya
Marekani na mataifa yenye nguvu ya Magharibi, yametangaza vikwazo vipya kwa Iran kwa sababu ya kuipa Urusi makombora.
Mawaziri wa kigeni wa Marekani na Uingereza ziarani Kiev
Haya yanajiri wakati Kiev ikizishinikiza nchi washirika kuiruhusu kutumia makombora ya masafa marefu kuishambulia Urusi.
Sumaiyya: Malkia wa barabara Zanzibar
Je, unaweza kubadili fani yako ulioipenda katikati mwa kilele kufuata fursa ya fedha na utofauti? Mtazame Sumaiyya alieipa kisogo taaluma ya habari na mawasiliano kwa ajili tu ya kufata fursa na utofauti.
Mpango tata wa kupunguza ruzuku Uingereza wapitishwa
Waziri Mkuu wa Uingereza amevuka kihunzi baada ya wabunge kuunga mkono mpango wa kufuta ruzuku ya mafuta kwa wastaafu.
Ujerumani yaijaribu EU kwa kuongeza udhibiti mipakani
Udhibiti wa mipaka unatarajiwa kuanza wiki ijayo na kudumu kwa miezi sita, na tayari unatishia umoja wa Ulaya.
Blinken na Starmer kujadili namna ya kuisaidia Ukraine
Marekani na washirika wengine wa magharibi wanaangazia namna ya kuendelea kuisaidia Ukraine.
Blinken ziarani Uingereza kujadili mizozo ya Ukraine na Gaza
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Antony Blinken anafanya ziara nchini Uingereza.
EU, Marekani: Tutajibu ikiwa Iran inapeleka makombora Urusi
Umoja wa Ulaya umesema umepokea taarifa za kuaminika zinazoonesha kwamba Iran imeipatia Urusi makombora ya masafa.
EU yaitaka Venezuela kusitisha ukandamizaji wa upinzani
Marekani, EU na mataifa mengine yenye ushawishi yanamuona Gonzalez kama mshindi halali wa uchaguzi Venazuela.
Barnier aanza kukabiliana na vizingiti vya kuunda serikali
Barnier amevitaja vipaumbele vyake kuwa ni elimu, usalama na udhibiti wa uhamiaji.
Uingereza yasaini mkataba wa udhibiti wa Akili Mnemba
Mkataba huo utazishinikiza nchi kufuatilia maendeleo ya teknolojia ya akili mnemba na kuhakikisha na sheria kali.
Rais Macron amteua Michel Barnier kuwa Waziri Mkuu mpya
Ufaransa ilikabiliwa na mkwamo wa kisiasa kwa miaezi kadhaa baada ya uchaguzi kushindwa kutoa mshindi wa moja kwa moja.
Dunia inazalisha taka za plasitiki tani mil. 57 kila mwaka
Kulingana na utafiti huo, mji wa Lagos nchini Nigeria ndio ulizalisha taka nyingi za plastiki kuliko jiji lolote.
Joseph Borrell ashtushwa na mauaji ya mateka 6 wa Israel
Mkuu wa sera za nje wa EU Joseph Borrell ashtushwa na mauaji ya mateka 6 wa Israel
Mawaziri wa EU wajadili mafunzo ya wanajeshi wa Ukraine
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wajadiliana kuwafunza wanajeshi wa Ukraine, nchini humo badala ya mataifa mengine.
Ufaransa yaahidi kuimarisha uhusiano na Uingereza
Rais wa wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameahidi kuimarisha uhusiano na Uingereza katika sekta ya ulinzi na usalama, pamoja
Uingereza yataka kurudisha mahusiano ya karibu na EU
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema anataka kuanzisha ukurasa mpya wa mahusiano na Umoja wa Ulaya.
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer yuko ziarani Berlin
Mahusiano ya Uingereza na jumuiya ya Umoja wa Ulaya yalipwaya baada ya mchakato wa Brexit wa kujiondoa muunganao huo.
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer azuru Ujerumani
Kiongozi huyo wa Uingereza baada ya mazungumzo yake mjini Berlin anatarajiwa kufanya ziara nchini Ufaransa.
Starmer afanya ziara Berlin kujadili mkataba na Ujerumani
aada ya Berlin, Starmer atasafiri kwenda Paris kukutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron.
Wahamiaji zaidi waingia UK kwa boti
Wahamiaji 13,489 waliingia Uingereza kwa boti katika nusu ya kwanza ya mwaka huu.
Je, EU inapaswa kufikiria upya sera yake kuhusu Syria?
Sera ya Umoja wa Ulaya kuhusu Syria imeshindikana huku kundi kubwa la wahamiaji likisaka hifadhi kwa nchi wanachama.
Uingereza kuisaidia Kongo katika jitihada za kudhibiti mpox
Uingereza yaiahidi Kongo pauni milioni 3.1 katika jitihada za kudhibiti mpox.
Waliozama katika jahazi la kifahari Italia, bado wapo hai
Maafisa Italia wasema huenda waliozama katika jahazi la kifahari Italia, bado wapo hai
EU yazionya nchi zake zijiandae kwa wimbi la homa ya nyani
Shirika la afya la Umoja wa Ulaya limezitaka nchi wanachama wake zijiandae kwa uwezekano wa wagonjwa zaidi wa virusi vya
Wahusika wa siasa kali wafunguliwa mashtaka Uingereza
Polisi nchini Uingereza imewashtaki watu wawili – mwanamume mwenye umri wa miaka 18 na mwanamke mwenye umri wa miaka 19
Polisi UK yakamata zaidi ya watu 1,000 kuhusiana na vurugu
Polisi nchini Uingereza imewakamata watu zaidi ya 1,000 kuhusiana na fujo za wafuasi wa itikadi kali za mrengo wa kulia.
Iran yapuuza miito ya Ulaya ya kutoishambulia Israel
Nchi hizo tatu za Ulaya hapo jana, zilitoa taarifa ya pamoja ya kuitaka Iran na wandani wake kutoishambulia Israel.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 46
Ukurasa unaofuatia