1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bomu laripuka kanisani Arusha

6 Mei 2013

Jeshi la polisi nchini Tanzania linawashikilia watu wanane wakiwemo raia wa kigeni kufuatia tukio la mripuko wa bomu lililosababisha watu wawili kupoteza maisha na wengine 60 wakajeruhiwa.

https://p.dw.com/p/18So9
A United States Marine talks with an FBI investigator in front of the damaged U.S. Embassy in the capital Dar es Salaam, Tanzania, in this Aug. 15, 1998 photo. Four followers of Osama bin Laden were convicted Tuesday, May 29, 2001, of charges in the nearly simultaneous 1998 bombings of two U.S. embassies in Africa that killed 224 people and buried thousands of others under piles of tangled metal and concrete. (AP Photo/Brennan Linsley)
Anschlag auf Botschaft der USA in Dar es Salaam Tansania 1998Picha: AP

Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa ni mtu asiyejulikana kurusha bomu katika sherehe za uzinduzi wa kanisa la Mtakatifu Joseph, Mfanyakazi, Olasiti la Arusha hapo Jana. Kutoka Arusha Sudi Mnette amezungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo Liberatus Sabas na kwanza anaelezea wapo katika hatua gani ya uchunguzi. Kusikiliza nmazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Yusuf Saumu