Bomu la ripuka Madrid
30 Desemba 2006Matangazo
MADRID:
Waziri wa ndani wa Spain,Alfredo Rubalcaba amesema bomu lililoripuka leo katika Uwanja wa ndege wa Spain mjini Madrid na chama cha ETA kubeba jukumu lake, limevunja mapatano ya kusimamisha vita na ETA ambayo chama hicho kilitangaza Machi 22. Mtu mmoja ametoweka na hajulikani alipo baada ya mripuko huo.