1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uchumi

Biashara ya Mitumba yashamiri Kenya

Bernard Maranga (HON)/M M T15 Desemba 2016

Nguo kuu kuu ambazo hujulikana pia kama Mitumba, hupendwa sana. Biashara ya nguo hii imewanufaisha wafanyabiashara wengi nchini Kenya. Soko la Gikombaa mjini Nairobi ni maarufu sana kwa biashara ya mitumba.

https://p.dw.com/p/2UJWD