Pikipiki ndogo zinazofahamika hasa kama boda boda zimekuwa maarufu sana katika maeneo mengi Afrika. Zinarahisisha usafiri kwani zinawafikisha watu pale ambapo hakuna mabasi, lakini pia zimesababisha ajali nyingi. Bernard Maranga anaagazia pande zote za aina hii ya usafiri.