BEIRUT:wanajeshi wauawa Lebanon20.08.200720 Agosti 2007https://p.dw.com/p/CBXZMatangazoWanajeshi wawili wameuawa katika mapigano yaliyotokea kwenye kambi ya wakimbizi ya Nahr al-Bared kaskazini mwa Lebanon. Askari 138 wa Lebanon wameshauawa tokea mapigano baina yao na wanaitikadi kali hao yaanze mnamo mwezi mei.