Baraza la amani na usalama la umoja wa Afrika lakutana mjini Addis Abeba,Ethiopia
24 Agosti 2007
Baraza la amani na usalama la umoja wa Afrika limekutana mjini Addis Abeba, Ethiopia kutathmini hali ya utekelezwaji wa mkataba wa amani ya kusini mwa Sudan.
https://p.dw.com/p/CH98
Matangazo
Kwa taarifa kamili juu ya mkutano huo anaripoti mwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Abeba.